Yanga SC jitahidini na famyeni kila fitna ili Simba SC leo isimfunge Kagera Sugar FC 'kwa Mkapa' kwani ikishinda tu Ubingwa mnaukosa na hamtoamini

Yanga SC jitahidini na famyeni kila fitna ili Simba SC leo isimfunge Kagera Sugar FC 'kwa Mkapa' kwani ikishinda tu Ubingwa mnaukosa na hamtoamini

Ile mechi yao na Mbeya city kule majarubani waitathini sana, vinginevyo mambo yatakuwa sio mambo.
 
Propaganda uchwara, Kagera Kama akikufungwani kwa uwezo wake na Wala si swala la kushangaa maana amekuwa akifanya Mara kwa mara
 
Sasa mbeya kwanza unailinganisha na Mbeya City?
Kumbukumbu zako zinaonesha ulimchapa magoli mangapi huyo Mbeya kwanza taifa? Mechi ambayo mnategemea kuwa ngumu kwa Yanga ndio Yanga anashinda. Kwani ndio leo mmeanza kutaja mechi za Yanga kupoteza?
 
Kwa Mkakati ulioko Simba SC anaweza akasababisha Maafa Yanga SC kwa Kuukosa Ubingwa waliodhania ni Wao.

Mwambieni Mayele amlipe Mganga wake.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga bingwa msimu huu hata kwa kumzidi Simba pointi moja.
 
Utopolo wamepoteana. Watu wakimkaba mayele timu haishindi. Timu la kifala sana
Kwani lazima kila game washinde? au unafikiri hizi timu nyingine hazihitaji ushindi? Kama uliangalia game ya juzi dhidi ya Prison usingeandika utopolo wako hapa, unafahamu kuwa Mayele alipata nafasi zaidi ya moja ila bahati ndiyo haikuwa upande wake?
 
Back
Top Bottom