NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hawa Dawa yao ni kuwakabidhi kwa chizi mwenzao Manara ndio eneo analolimudu kuwasasambuwa.Ally Kamwe alijibu swali Hilo kupitia Mpenja TV.
Micky Jr anatumika vibaya na wanasimba kusambaza propaganda dhidi ya Yanga sc, hakuna alijualo kuhusu Yanga sc na habari zake ni kubashiri tu.
Evidence hii hapa chini namna Ally Kamwe akizungumza kuwa Yanga sc itasajili kama kawaida.
Nimemtahadharisha ndugu yangu Scars mapema kuhusu hili. Mimi aimlaumu Micky Jr maana yeye kaleta kama speculations japokuwa kasema "I can confirm that...." Baada ya Muda akaleta habari tofauti akisema Mawakala wa Kocha ndo wanaojaribu kushinikiza fedha ilipwe Kwa mkupuo kipindi hiki cha usajili baada ya Yanga kuomba kulipa Kwa installments. Sioni kosa la Micky Jr zaidi ya waliolipokea kukurupuka.Ally Kamwe alijibu swali Hilo kupitia Mpenja TV.
Micky Jr anatumika vibaya na wanasimba kusambaza propaganda dhidi ya Yanga sc, hakuna alijualo kuhusu Yanga sc na habari zake ni kubashiri tu.
Evidence hii hapa chini namna Ally Kamwe akizungumza kuwa Yanga sc itasajili kama kawaida.
Yanga walishapewa utaratibu wa kulipa kwa installment kama wamezembea wasifikiri wanasheria 1a FIFA ni kina mgongolwaNimemtahadharisha ndugu yangu Scars mapema kuhusu hili. Mimi aimlaumu Micky Jr maana yeye kaleta kama speculations japokuwa kasema "I can confirm that...." Baada ya Muda akaleta habari tofauti akisema Mawakala wa Kocha ndo wanaojaribu kushinikiza fedha ilipwe Kwa mkupuo kipindi hiki cha usajili baada ya Yanga kuomba kulipa Kwa installments. Sioni kosa la Micky Jr zaidi ya waliolipokea kukurupuka.