NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ally Kamwe alijibu swali Hilo kupitia Mpenja TV.
Micky Jr anatumika vibaya na wanasimba kusambaza propaganda dhidi ya Yanga sc, hakuna alijualo kuhusu Yanga sc na habari zake ni kubashiri tu.
Evidence hii hapa chini namna Ally Kamwe akizungumza kuwa Yanga sc itasajili kama kawaida.