njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena
Kwa msiojua ni kwamba Gharib kasema hatoi zaidi ya 500 millions watu wamechafua madafatari vibaya sana, haya sasa millions 200 hiyoo inaondoka kimasihara, kalipeeniii
*Nasubiri kwa hamu pale masharti ya ufunguo ya kukataa kukaa avic town yaani awe anatokea nyumbani kwake msimu mzima na lile la Yacouba lazima abaki yatekelezwe nione raha ya watu kususiana uwanjani