njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hivi unadhani hilo la jamaa kukataa kuishi kambini ni utani? subiri ligi ianze wamemkuzaa mnoo acha awapande kichwani..kambi inaenda karatu sasa hasara ya usd 87,000 kizeembe kabisaKumekuchaaaaaaa!!!!!
Afu nasikia rafiki na mwenyeji wake yaokuba anaenda GEITA FC.hivi unadhani hilo la jamaa kukataa kuishi kambini ni utani? subiri ligi ianze wamemkuzaa mnoo acha awapande kichwani..kambi inaenda karatu sasa hasara ya usd 87,000 kizeembe kabisa
Kalipeni madeni ya waturuki jamaniHujalala unasubiri utambulisho wa AZIZ KI.
Watamtambua vizuri sharti lake hilo likivunjwaAfu nasikia rafiki na mwenyeji wake yaokuba anaenda GEITA FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupu.