TFF inakuwa fair mnapokuwa na fedha za majini na kuchukua ndoo ya VPL?Hapa hamna cha ugoro wa Mze Akilimali wala nini. Kama kweli TFF watakuwa fair, Yanga LAZIMA ishuke daraja tu.
Mkuu GENTAMYCINE Hiyo paragraph ya nne hiyo nimecheka balaa kwamba muda si mrefu bakora zitaanza kutembea mitaa ya Jangwani na Twiga. [HASHTAG]#thisissimba[/HASHTAG]
Mkuu,a one........siyo kiingereza ,umezingua au ndo Yale aliyoyasema mwana msimbazi mwenzio Rage?
Tshishimbi kamaliza mkataba Yanga?
Vp kuhusu Kichuya simuoni hapo.. au safari ya Tp mazembe imefika.
This is Simba
Kujifariji TIBA pia mkuu.Quality Group Limited is Tanzania's largest conglomerate with 17 companies in the automotive, engineering products, international trade, logistic solutions and warehousing, real estate development, food processing, consulting, transport, aluminiumand fisheries sectors...Kawadanganye wanywa kahawa wenzako..kama ulikuwa hujui Manji ndio tajiri namba moja Tanzania... Quality Group ina thamani ya 13 Billion's... Tigo peke yake Manji anamiliki 99% ina thamani ya $ 1.4billion...Muulize Mo anavyomuogopa Yusuf.....alafu kuna jitu lingine lingine linaitwa Shubhash Patel hatari...wote wanarudi kundini 10 June....alafu Chirwa mchukueni hana hata footwork nzuri...Tshitshimbi hamuwezi kuvunja mkataba wake...
Eti thamani ya mbeya city ni kubwa kuliko simba, upo serious mkuu?Day dreaming does not break any law.
Labda hela za Mo ni majini. Au wajanja wanapiga dili
Kwa bei ya billion 20, Simba could be the cheapest club in among the top four in Tanzania. Value ya Mbeya City ni 100 billions!
Siku si nyingi, Mo ataiuza Simba more than 50 billions.
Mark my words for your future reference.
Quality Group Limited is Tanzania's largest conglomerate with 17 companies in the automotive, engineering products, international trade, logistic solutions and warehousing, real estate development, food processing, consulting, transport, aluminiumand fisheries sectors...Kawadanganye wanywa kahawa wenzako..kama ulikuwa hujui Manji ndio tajiri namba moja Tanzania... Quality Group ina thamani ya 13 Billion's... Tigo peke yake Manji anamiliki 99% ina thamani ya $ 1.4billion...Muulize Mo anavyomuogopa Yusuf.....alafu kuna jitu lingine lingine linaitwa Shubhash Patel hatari...wote wanarudi kundini 10 June....alafu Chirwa mchukueni hana hata footwork nzuri...Tshitshimbi hamuwezi kuvunja mkataba wake...
Day dreaming does not break any law.
Labda hela za Mo ni majini. Au wajanja wanapiga dili
Kwa bei ya billion 20, Simba could be the cheapest club in among the top four in Tanzania. Value ya Mbeya City ni 100 billions!
Siku si nyingi, Mo ataiuza Simba more than 50 billions.
Mark my words for your future reference.
TFF inakuwa fair mnapokuwa na fedha za majini na kuchukua ndoo ya VPL?
Mkiwa na njaa chaka mbaya, TFF inakuwa unfair?
ukiona MTU anatukana hana facts..Sibishani na Watu waliojifunza mpira juzi, jana na leo tafadhali. Nenda Kwanza kajifunze mambo ya mpira hasa huu wa Bongo na ukiona umeshafuzu rudi Kwangu tafadhali. Halafu siku nyingine uwe unajitahidi sana kuuficha Upopoma / Upumbavu wako kwani unajidhalilisha leo hii ukimfananisha ' Tajiri ' Kijana Afrika na ' Tajiri ' namba moja Tanzania Mohamed ' Mo ' Dewji na ' Msanii ' wa mjini Yusuph Manji. Kuna Watu huwa ' mnakera ' hadi tunakosa uvumilivu juu yenu. Yaani sijaishia tu kukupuuza bali pia nimekudharau sana na sishangai Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa Kufikiri na Kujenga hoja ni haba kama siyo finyu sana na haishangazi mpaka leo bado Klabu yenu ' inaogelea ' tu pale katika ' hazard area ' Jangwani na mnazungukwa tu na ' mafuriko ' kila uchao.
Hivi unaamini Simba ina value ya 20 billions za Mo?Eti thamani ya mbeya city ni kubwa kuliko simba, upo serious mkuu?
Acha Kupotosha AZAM FC Hatuna Undugu na MIKIA.... pamabneni na hali zenu..Yaani watachapana sana Mkuu kwani Simba SC na Azam FC ambao tuna ' Undugu ' tumeshaamua ' Kuibomoa ' na ' Kuimaliza ' kabisa Yanga SC. Itakuwa hivyo hadi watuombe msahama kwa madhila / mabaya yao waliyotufanyia wakati wa awamu ya Nne na ya yule ' Gabachori ' wao.
Na kale kamlungula ka Mo....maana mechi halali ni ile moja mbele ya mkuu pale kwa mchina dhidi ya Kagera Sukari.Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo Papy Tshishimbi na Mshambuliaji Obren Chirwa wanasaini kuichezea Simba SC.
Je Yanga SC itakuwepo mwakani?
Poleni sana Yanga. Mlianza sasa tunamaliza kudadeki.
Mpaka mje mtuombe radhi Simba SC ndipo tunaweza kufikiria kuwasamehe ila nina uhakika kwa kuondoka kwa Ngoma, Kamusoko, Yondani, Tshishimbi na Chirwa tayari Yanga SC imeshashuka daraja rasmi katika Ligi Kuu ya msimu ujao wa 2018 / 2019.
Kama ambavyo mlitutesa Simba SC kwa akina Kelvin Yondan na Mbuyi Twite kupitia ' Tajiri ' wenu Yusuph Manji sasa nasi Simba SC kupitia si tu Tajiri bali ni ' Bilionea ' Mohamed Dewji sasa tumeamua kulipiza Kisasi na najua kuwa kwa taarifa hii ya Tshishimbi na Chirwa kusaini Simba SC muda wowote kuanzia sasa litakuwa ni ' Pigo ' moja takatifu kwa Yanga SC huku niamini kuwa muda wowote ule ' Bakora ' zitaanza kutembea pande za mitaa ya Twiga na Jangwani.
Wana Simba SC popote pale mlipo kaeni tayari kuwapokea hawa Wachezaji wawili akina Tshishimbi na Chirwa kwani tayari ' almost done deal ' na mliokuwa leo maeneo ya Posta karibu na Ofisi ya ' Bilionea ' kuna mambo mliyaona. Simba SC sasa hivi hatutanii na tunatumia Pesa kwa raha zetu na mtatutambua mwakani.
Simba SC 2018 / 2019
Kwa Kikosi chetu hiki Kipya cha Msimu ujao niwaombe tu TFF watukabidhi mapema Kombe letu kwani kuna uwezekano mkubwa sana Simba SC tukachukua ' Ubingwa ' zikiwa zimebaki mechi 15 huku idadi ya magoli yetu ya Kufunga yakiwa 203 na ya kufungwa yakiwa ni 0.
- Aishi Manula
- Shomari Kapombe ' Kiraka '
- Asante Kwasi
- Paul Bukaba
- Erasto Nyoni
- Jonas Mkude
- Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ' Niyo Fabregas '
- Papy Kabamba Tshishimbi
- Obren Chirwa
- John Raphael Boko ' Adebayor '
- Emanuel Okwi
Nawasilisha.