GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Mchezaj anapo anzia sub ina maanisha yey ni mbadala tu wa yule alieanza.
Ikitokea alie anza aka perform vizur basi uyu alie bench uwezekano wa kusugua bench unakua mkubwa. Mfano mzuri ni pale Santiago Gareth Bel yuko bench muda mwing Kwa kua Isco yuko kweny kiwango kizur . Gareth anapata nafsi pale tu ikionekana game imemshinda Isco au wako mbele kwa goli nyingi, Vinginevyo ana nafas.
Assume msimu ujao inatokea kichuya anagombania namba kama Gareth pale Santiago
Ki bongo bongo msim mmoja tu tunamsahau kabisa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Rudi tena ukajifunze masuala ya mpira na ukiona umekomaa / umeiva rudi tena hapa tafadhali. Uelewa wako wa masuala ya mipira ni mdogo sana halafu ni kama vile naona unanipotezea muda wangu Kukufundisha kila mara.
adui yako mwombee njaa....yanga mpigieni magoti mzee Mengi aje kuwaokoa....
[emoji38][emoji38][emoji38]Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo Papy Tshishimbi na Mshambuliaji Obren Chirwa wanasaini kuichezea Simba SC.
Je Yanga SC itakuwepo mwakani?
Poleni sana Yanga. Mlianza sasa tunamaliza kudadeki.
Mpaka mje mtuombe radhi Simba SC ndipo tunaweza kufikiria kuwasamehe ila nina uhakika kwa kuondoka kwa Ngoma, Kamusoko, Yondani, Tshishimbi na Chirwa tayari Yanga SC imeshashuka daraja rasmi katika Ligi Kuu ya msimu ujao wa 2018 / 2019.
Kama ambavyo mlitutesa Simba SC kwa akina Kelvin Yondan na Mbuyi Twite kupitia ' Tajiri ' wenu Yusuph Manji sasa nasi Simba SC kupitia si tu Tajiri bali ni ' Bilionea ' Mohamed Dewji sasa tumeamua kulipiza Kisasi na najua kuwa kwa taarifa hii ya Tshishimbi na Chirwa kusaini Simba SC muda wowote kuanzia sasa litakuwa ni ' Pigo ' moja takatifu kwa Yanga SC huku niamini kuwa muda wowote ule ' Bakora ' zitaanza kutembea pande za mitaa ya Twiga na Jangwani.
Wana Simba SC popote pale mlipo kaeni tayari kuwapokea hawa Wachezaji wawili akina Tshishimbi na Chirwa kwani tayari ' almost done deal ' na mliokuwa leo maeneo ya Posta karibu na Ofisi ya ' Bilionea ' kuna mambo mliyaona. Simba SC sasa hivi hatutanii na tunatumia Pesa kwa raha zetu na mtatutambua mwakani.
Simba SC 2018 / 2019
Kwa Kikosi chetu hiki Kipya cha Msimu ujao niwaombe tu TFF watukabidhi mapema Kombe letu kwani kuna uwezekano mkubwa sana Simba SC tukachukua ' Ubingwa ' zikiwa zimebaki mechi 15 huku idadi ya magoli yetu ya Kufunga yakiwa 203 na ya kufungwa yakiwa ni 0.
- Aishi Manula
- Shomari Kapombe ' Kiraka '
- Asante Kwasi
- Paul Bukaba
- Erasto Nyoni
- Jonas Mkude
- Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ' Niyo Fabregas '
- Papy Kabamba Tshishimbi
- Obren Chirwa
- John Raphael Boko ' Adebayor '
- Emanuel Okwi
Nawasilisha.
popoma na mbumbumbu[emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu 2022 hii vipi 2019 Yanga walishuka darajaBaada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo Papy Tshishimbi na Mshambuliaji Obren Chirwa wanasaini kuichezea Simba SC.
Je Yanga SC itakuwepo mwakani?
Poleni sana Yanga. Mlianza sasa tunamaliza kudadeki.
Mpaka mje mtuombe radhi Simba SC ndipo tunaweza kufikiria kuwasamehe ila nina uhakika kwa kuondoka kwa Ngoma, Kamusoko, Yondani, Tshishimbi na Chirwa tayari Yanga SC imeshashuka daraja rasmi katika Ligi Kuu ya msimu ujao wa 2018 / 2019.
Kama ambavyo mlitutesa Simba SC kwa akina Kelvin Yondan na Mbuyi Twite kupitia ' Tajiri ' wenu Yusuph Manji sasa nasi Simba SC kupitia si tu Tajiri bali ni ' Bilionea ' Mohamed Dewji sasa tumeamua kulipiza Kisasi na najua kuwa kwa taarifa hii ya Tshishimbi na Chirwa kusaini Simba SC muda wowote kuanzia sasa litakuwa ni ' Pigo ' moja takatifu kwa Yanga SC huku niamini kuwa muda wowote ule ' Bakora ' zitaanza kutembea pande za mitaa ya Twiga na Jangwani.
Wana Simba SC popote pale mlipo kaeni tayari kuwapokea hawa Wachezaji wawili akina Tshishimbi na Chirwa kwani tayari ' almost done deal ' na mliokuwa leo maeneo ya Posta karibu na Ofisi ya ' Bilionea ' kuna mambo mliyaona. Simba SC sasa hivi hatutanii na tunatumia Pesa kwa raha zetu na mtatutambua mwakani.
Simba SC 2018 / 2019
Kwa Kikosi chetu hiki Kipya cha Msimu ujao niwaombe tu TFF watukabidhi mapema Kombe letu kwani kuna uwezekano mkubwa sana Simba SC tukachukua ' Ubingwa ' zikiwa zimebaki mechi 15 huku idadi ya magoli yetu ya Kufunga yakiwa 203 na ya kufungwa yakiwa ni 0.
- Aishi Manula
- Shomari Kapombe ' Kiraka '
- Asante Kwasi
- Paul Bukaba
- Erasto Nyoni
- Jonas Mkude
- Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ' Niyo Fabregas '
- Papy Kabamba Tshishimbi
- Obren Chirwa
- John Raphael Boko ' Adebayor '
- Emanuel Okwi
Nawasilisha.
Mwamba kumbe huwa unasemaga uwongo kwa kiasi hiki..!!Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo Papy Tshishimbi na Mshambuliaji Obren Chirwa wanasaini kuichezea Simba SC.
Je Yanga SC itakuwepo mwakani?
Poleni sana Yanga. Mlianza sasa tunamaliza kudadeki.
Mpaka mje mtuombe radhi Simba SC ndipo tunaweza kufikiria kuwasamehe ila nina uhakika kwa kuondoka kwa Ngoma, Kamusoko, Yondani, Tshishimbi na Chirwa tayari Yanga SC imeshashuka daraja rasmi katika Ligi Kuu ya msimu ujao wa 2018 / 2019.
Kama ambavyo mlitutesa Simba SC kwa akina Kelvin Yondan na Mbuyi Twite kupitia ' Tajiri ' wenu Yusuph Manji sasa nasi Simba SC kupitia si tu Tajiri bali ni ' Bilionea ' Mohamed Dewji sasa tumeamua kulipiza Kisasi na najua kuwa kwa taarifa hii ya Tshishimbi na Chirwa kusaini Simba SC muda wowote kuanzia sasa litakuwa ni ' Pigo ' moja takatifu kwa Yanga SC huku niamini kuwa muda wowote ule ' Bakora ' zitaanza kutembea pande za mitaa ya Twiga na Jangwani.
Wana Simba SC popote pale mlipo kaeni tayari kuwapokea hawa Wachezaji wawili akina Tshishimbi na Chirwa kwani tayari ' almost done deal ' na mliokuwa leo maeneo ya Posta karibu na Ofisi ya ' Bilionea ' kuna mambo mliyaona. Simba SC sasa hivi hatutanii na tunatumia Pesa kwa raha zetu na mtatutambua mwakani.
Simba SC 2018 / 2019
Kwa Kikosi chetu hiki Kipya cha Msimu ujao niwaombe tu TFF watukabidhi mapema Kombe letu kwani kuna uwezekano mkubwa sana Simba SC tukachukua ' Ubingwa ' zikiwa zimebaki mechi 15 huku idadi ya magoli yetu ya Kufunga yakiwa 203 na ya kufungwa yakiwa ni 0.
- Aishi Manula
- Shomari Kapombe ' Kiraka '
- Asante Kwasi
- Paul Bukaba
- Erasto Nyoni
- Jonas Mkude
- Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ' Niyo Fabregas '
- Papy Kabamba Tshishimbi
- Obren Chirwa
- John Raphael Boko ' Adebayor '
- Emanuel Okwi
Nawasilisha.
Atakuwa keshamaliza nyeto ameamkaEndelea kuota, ukimaliza piga na nyeto hapo kitandani
Kwani mihogo yao imeisha?Tatizo la Yanga ni njaa kali
Naona yanga ilishakufa Iko ligi daraja la Tano saiziMengi Hana ufisadi?? Huwa hakwepi Kodi kweli?? Mnataka kumtia matatani mzee wa watu!
Simba tutatumia njia zote za kimafia kuhakikisha hi yanga inakufa in natural death au ishuke daraja kabsa!
Utakufa wew yanga itabaki.Hayo tutafanya mwakani, mission ya mwaka huu NI kuiua yanga kabsa, ikiwezeka tuinunue hiyo alafu tuishushe daraja kabsa, shenzy, huu NI umafiaaa!
Aisee kama unaweza kunywa supu na chapati kwa mama ntilie yeyote yule hapo ulipo, kunywa! Halafu nitakuja kulipa.Vichaa ni wengi humu kumbe
Huyu jamaa inavyo onekana dishi lake liliyumba zamani sana.Hivi kuna mwana jf hajui kua huyu jamaa ni kichaa?
Pimbi mkubwa Wewe.Mkuu 2022 hii vipi 2019 Yanga walishuka daraja
Hujui kuwa upande wangu mwingine Mimi ni Professional Propagandist na Spin Doctor mzuri tu? Pole na Poleni sana.Mwamba kumbe huwa unasemaga uwongo kwa kiasi hiki..!!