GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Mchezaj anapo anzia sub ina maanisha yey ni mbadala tu wa yule alieanza.
Ikitokea alie anza aka perform vizur basi uyu alie bench uwezekano wa kusugua bench unakua mkubwa. Mfano mzuri ni pale Santiago Gareth Bel yuko bench muda mwing Kwa kua Isco yuko kweny kiwango kizur . Gareth anapata nafsi pale tu ikionekana game imemshinda Isco au wako mbele kwa goli nyingi, Vinginevyo ana nafas.
Assume msimu ujao inatokea kichuya anagombania namba kama Gareth pale Santiago
Ki bongo bongo msim mmoja tu tunamsahau kabisa.
Rudi tena ukajifunze masuala ya mpira na ukiona umekomaa / umeiva rudi tena hapa tafadhali. Uelewa wako wa masuala ya mipira ni mdogo sana halafu ni kama vile naona unanipotezea muda wangu Kukufundisha kila mara.