Huyu jamaa mnamshambulia lkn alichoongea ndo yanga alichofanyiwa maana hata Manji ilibidi wamsulubu ili yanga ipate shida na walifanikiwa. Mungu aliiingikia kati wale mashetani wakatoka msimu huohuo yanga akawa bingwa na atakua bingwa 10x back to back inshallah.