Yanga SC kushuka daraja mwakani!

Yanga SC kushuka daraja mwakani!

Naona Yanga wako championship wanacheza na kina Gwambina huko😆😆😆😆
 
Huyu jamaa mnamshambulia lkn alichoongea ndo yanga alichofanyiwa maana hata Manji ilibidi wamsulubu ili yanga ipate shida na walifanikiwa. Mungu aliiingikia kati wale mashetani wakatoka msimu huohuo yanga akawa bingwa na atakua bingwa 10x back to back inshallah.
 
Back
Top Bottom