mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Baada ya ushindi wa kishindo walioupata mabingwa watetezi wa ligi ya Tanzania bara The almighty Yanga afrika dhidi ya mabepari CR Belouizdad kumeibuka hali ya kuweweseka kwa baadhi ya wachambuzi wanazi wa Mbumbumbu efusii hali inayoonekana kuwa vivyo hivyo mpaka kwa mashabiki na msemaji wa Mbumbumbu efusii.
Kutokana na ushindi wa Yanga, zimeanza kuibuliwa rank za mchongo za CAF, mara zinaibuka hoja Simba sc ndio timu kubwa pekee Afrika, zinaletwa historia za mwaka 1977 kwamba mbumbumbu efusii waliwahi kufika nusu fainali cafcl, wanahitisha press conferences nakusema mo dewji ndie aliesababisha mafanikio ya Yanga, wanatajwa horoya walivofungwa goli saba.
Yaani yote haya kisa Yanga afrika katinga robo fainali aisee, nashindwa hata kushangaa kwa kiwango hichi cha utahira kinachoonyeshwa na wanazi wa Mbumbumbu efusii.
Yaani mashabiki wa Yanga sc hawatakiwi kushangilia matokeo na mafanikio ya timu yao sababu mbumbumbu efusii alishawahi kufanya?. Tukisema hii timu ni kituko cha taifa wanatukana.