Yanga SC kwa mpira huu kwa mashindano haya hatutoboi

Mleta mada hujui mpira, Yanga wangecheza hivyo wangepigwa hata 5
 
Upo sahihi kwa wachezaji waliopo yanga sasa hivi Mkwasa alikuwa na uwezo wa kuleta matokeo kuliko Nabi
 
Mi nlipoona tu wameingia na 4-2-3-1 nikajua hawatoboi,unaenda ugenini tena kwa waarabu afu unataka mpira wa show off,wa kazi gani?

Kama sio upuuzi tu,wangeingia angalau na 4 3 3 wanakava wote wanapanda wote ingewasaidia,sasa mechi mpaka dk tisini on target moja tena ya jioni,[emoji12][emoji12][emoji12]afu mnakuja kujisifu mmecheza mpira mzuri wa nini? kwani hii ni ligi??
 
Nani acheze butua butua ww?
Ni mipango mibovu ya mwalimu na kukosa winga za uhakika,kumweka single straiker,Mayele kukosa umakini ktk kufunga
Kukosa umakini wapi? Nimetengeneza nafasi gani za hatari mpaka useme kakosa umakini???kwanza alikuepo mbona oattara alimtia mfukoni dk zote 90..
 
Mi nlipoona tu wameingia na 4-2-3-1 nikajua hawatoboi,unaenda ugenini tena kwa waarabu afu unataka mpira wa show off,wa kazi gani???kama sio upuuzi tu...

Kwahiyo huo mfumo wangeingia nao ndio usingeruhusu kuwepo kwa kona? Yanga wameadhibiwa kwa set pieces. Halafu unasema shot on target ni moja tu tena ya jioni. Mpira uliangalia wa peke yako.

 
Mnabadilika kutokana na matokeo.

Ntie si washabiki wa mpira nyie ni washabiki wa matokeo.

Ndo maana mnaamini katika kushinda tu
 
Aziz K ndiye specialist aliye tandika mkwaju Kipa akanasa nyavuni na kugalagala Kwa maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna jana hakutandika au hakuchezaaaa?

Domolepeeee hana maajabu tenaa. Lol
 
Kweli magonjwa. Nalo hili tuanze mjadala! [emoji16]Ugonjwa haujakuacha salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…