Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh! Una macho peke yako aiseeHata hivo hii mechi ilikuwa ni kama ulingoni tu yanga wamewahiwa za USO habari imeisha kipindi Cha pili monastir wameanza kulala na waliutafuta mpira kwa tabu
Upo sahihi kwa wachezaji waliopo yanga sasa hivi Mkwasa alikuwa na uwezo wa kuleta matokeo kuliko NabiKuna long passes na kuna butua butua. Unadhani Diarra akiwa anapiga mpira mbele ni butua au ni long pass?
Mmejua leo kuwa hamna winga za uhakika? Mfukuzeni Nabi mrudisheni Mkwasa au Minziro. Mayele hajakosa umakini, shuti lenyewe leo amepiga moja kama sikosei.
Kukosa umakini wapi? Nimetengeneza nafasi gani za hatari mpaka useme kakosa umakini???kwanza alikuepo mbona oattara alimtia mfukoni dk zote 90..Nani acheze butua butua ww?
Ni mipango mibovu ya mwalimu na kukosa winga za uhakika,kumweka single straiker,Mayele kukosa umakini ktk kufunga
Ki aziz vp kwani?Yanga tunaitaji mpiga mashuti akiwa mbali kama Fei Toto. Pia Fei anaweza mchezesha Mayele sio Ki
Aziz K ndiye specialist aliye tandika mkwaju Kipa akanasa nyavuni na kugalagala Kwa maumivu.Ki aziz vp kwani?
Mi nlipoona tu wameingia na 4-2-3-1 nikajua hawatoboi,unaenda ugenini tena kwa waarabu afu unataka mpira wa show off,wa kazi gani???kama sio upuuzi tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna jana hakutandika au hakuchezaaaa?Aziz K ndiye specialist aliye tandika mkwaju Kipa akanasa nyavuni na kugalagala Kwa maumivu.
Unajivunia possesion???Kwahiyo huo mfumo wangeingia nao ndio usingeruhusu kuwepo kwa kona? Yanga wameadhibiwa kwa set pieces. Halafu unasema shot on target ni moja tu tena ya jioni. Mpira uliangalia wa peke yako.
View attachment 2515666