Yanga SC limalizeni hili haraka Mchezaji wenu ampa Mwanamke Mimba hataki kuilea

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi alipojifungua Mtoto ambaye kwakweli anafanana kila kitu na Mwanandinga huyo ambaye usajili wake kwenda Yanga SC kutoka huko Mbeya katika Klabu yake ulitia ' Fora ' ambapo alisajiliwa kwa Tsh 300,000/ huku Karatasi yake ya Usajili ikisema amesajiliwa kwa Tsh 15,000,000/.

Kwa mujibu wa huyo Mwanamke ni kwamba Mchezaji huyo hakuwa na msaada wowote Kwake baada ya Kujifungua Mtoto wake huku akiwa na maneno ya dharau mno kiasi kwamba kilimsababisha Yeye ( Mwanamke ) kuwa katika wakati mgumu wa maisha kupelekea kutokupata mahitaji ya Kiuzazi yaliyosababisha Mtoto wao huyo aitwae Judy Kuugua ghafla na Kufariki dunia hivi leo ikiwa ni siku ya 22.

Mchezaji huyo alipofuatwa kuulizwa juu ya Mpenzi wake huyo aitwae Jacky ( au Mama Judy ) na kwamba kwanini mwanzo aliikataa Mimba kisha baadae Mtoto alipozaliwa akaikubali japo alikuwa hatoi huduma hadi kupelekea ' umauti ' wake jibu alilotoa ni kwamba kwa sasa hivi Wachezaji wa Yanga SC wana hali mbaya ya Uchumi kwani hata Chai yao tu kama Wachezaji wa Yanga SC ni tatizo na muda mwingi wanashinda na njaa huku wakipata msaada kutoka kwa Wachezaji wa Simba SC ambao wao muda mwingi ' accounts ' zao huwa ' zinacheka ' tu kwa ' Midola Midola ' wanayoioga kila siku.

Kwa mujibu wa huyu Mpenzi wake Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwaishuya aitwae Jacky ( Mama Judy ) ni kwamba ana ushahidi wote tena wa ' meseji ' zake kwani ameharibiwa sana maisha na huyo Mchezaji hivyo anapanga kumfungulia mashitaka ila kama Yanga SC watamsaidia basi anaweza akayamaliza Kistaarabu tu.

Nawasilisha.

Source ya taarifa hii ni SHILAWADU na Clouds tv.
 
Mwashiuya alisema kwamba... Club ya Yanga haitoi ruhksa ya kwenye msiba wa mtu yeyote zaidi ya ukifiwa na Baba au Mama.
 
Kwani alipombebesha Mimba huyo Jacky ( Mama Judy ) Klabu yake ya Yanga ilimpa ruhusa? Jamani hebu ' sometimes ' tujitahidi sana kuzitumia akili zetu tulizopewa bure tu na Mwenyezi Mungu ili ziweze kutusaidia kujenga hoja hasa ukiwa humu Nyumba ya ' Great Thinkers ' na usije ukaonekana ni Kituko au wa hovyo hovyo kama ambavyo Mchezaji huyo wa Yanga SC Godfrey Mwashiuya nae amekuwa wa hovyo hovyo.
 
Fake news

Kuna Watu humu huwa mnanilazimisha niwadharau na niwajibu hovyo / kunya kisha mnakasirika na kuninunia. Nakuomba ingia sasa hivi YouTube Kipindi cha leo cha SHILAWADU kisha fuatilia vyema mahojiano ya mwanzo ya huyo Mwanamke Jacky ( Mama Judy ) kisha sikiliza kwa umakini wako wote pale ambapo Mtangazaji Soudy Brown alipompigia Simu huyo Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwashiuya kisha usikilize alichokisema ambapo kwa kukusaidia Yeye mwenyewe amekiri kuwa na mahusiano na huyo Binti na anatambua kuwa Mtoto wao huyo Judy amefariki na kwamba hivi sasa anajipanga kidogo kwani hali yake ya Uchumi siyo nzuri ili aende ' Kuhani ' kwa huyo Binti huko Mabibo karibu na Loyola wayamalize.

Sasa hapo ' Fake News ' yako iko wapi? I never knew that you're this imprudent.
 
Malengo ya Uzi wako ni haya:
1: mchezaji hatumii kinga ( ndomu)
2: Mchezaji ni muuaji( kushawishi abortion" criminal")
3: Yanga hawana mihela siku hizi( chokest)
4: Simba matajiri
5: usajiri wa Geoffrey (300,000/) na in papers ni (30 m)
6: Unamdhalilisha
7: Makonda ( shabiki wa Simba) amshughulikie Geoffrey.
Shemeji umetukosea yanga
 
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi alipojifungua Mtoto ambaye kwakweli anafanana kila kitu na Mwanandinga huyo ambaye usajili wake kwenda Yanga SC kutoka huko Mbeya katika Klabu yake ulitia ' Fora ' ambapo alisajiliwa kwa Tsh 300,000/ huku Karatasi yake ya Usajili ikisema amesajiliwa kwa Tsh 15,000,000/.

Kwa mujibu wa huyo Mwanamke ni kwamba Mchezaji huyo hakuwa na msaada wowote Kwake baada ya Kujifungua Mtoto wake huku akiwa na maneno ya dharau mno kiasi kwamba kilimsababisha Yeye ( Mwanamke ) kuwa katika wakati mgumu wa maisha kupelekea kutokupata mahitaji ya Kiuzazi yaliyosababisha Mtoto wao huyo aitwae Judy Kuugua ghafla na Kufariki dunia hivi leo ikiwa ni siku ya 22.

Mchezaji huyo alipofuatwa kuulizwa juu ya Mpenzi wake huyo aitwae Jacky ( au Mama Judy ) na kwamba kwanini mwanzo aliikataa Mimba kisha baadae Mtoto alipozaliwa akaikubali japo alikuwa hatoi huduma hadi kupelekea ' umauti ' wake jibu alilotoa ni kwamba kwa sasa hivi Wachezaji wa Yanga SC wana hali mbaya ya Uchumi kwani hata Chai yao tu kama Wachezaji wa Yanga SC ni tatizo na muda mwingi wanashinda na njaa huku wakipata msaada kutoka kwa Wachezaji wa Simba SC ambao wao muda mwingi ' accounts ' zao huwa ' zinacheka ' tu kwa ' Midola Midola ' wanayoioga kila siku.

Kwa mujibu wa huyu Mpenzi wake Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwaishuya aitwae Jacky ( Mama Judy ) ni kwamba ana ushahidi wote tena wa ' meseji ' zake kwani ameharibiwa sana maisha na huyo Mchezaji hivyo anapanga kumfungulia mashitaka ila kama Yanga SC watamsaidia basi anaweza akayamaliza Kistaarabu tu.

Nawasilisha.

Source ya taarifa hii ni SHILAWADU na Clouds tv.
Mwanzo wa laana kwa mchezaji,viongozi,timu na taifa kwa ujumla
 
Ungedeclare kwanza interest maana,nina ushahidi huyu Jacky ni dada yako.Unashadadia dada yako kupigwa na mkuyenge wa Mwashiuya?
 
FB_IMG_1521099972769.jpg
 
UKIFIKA DARASA LA SABA WALA HUNA JAA YA KUJIBU HAYA .ANYWAY NIKUSAIDIE

MAISHA YA KAZINI N TOFAUTI NA MUBINAFSI

MWAMBIE HUYOMWANAMKE KACHEMSHA KUKUTUMA AFWATE TU PROCEDURE ATAPEWA KILA.MWEZI STAHIKI YA MTOTO

AENDE DAWATI LA JINSIA AJIELEZE NA AKAESAWA KWA LOLOTE IKIWEMO DNA...

MSAIDIE KUMWAMBIA YANGA HAINA MAMLALA HATA ROBOO KUINGILIA NDOA YAO OTHERWISE UNAWEZA MSAIDIA KUMLEA MTOTO WA SHEMEJIOO SIOMBAYA
 
Mkuu Gentamycine umetisha kwa nondo.Kumbe majirani zetu wanapitia kipindi kigumu kiasi hicho?
 
Kuna Watu humu huwa mnanilazimisha niwadharau na niwajibu hovyo / kunya kisha mnakasirika na kuninunia. Nakuomba ingia sasa hivi YouTube Kipindi cha leo cha SHILAWADU kisha fuatilia vyema mahojiano ya mwanzo ya huyo Mwanamke Jacky ( Mama Judy ) kisha sikiliza kwa umakini wako wote pale ambapo Mtangazaji Soudy Brown alipompigia Simu huyo Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwashiuya kisha usikilize alichokisema ambapo kwa kukusaidia Yeye mwenyewe amekiri kuwa na mahusiano na huyo Binti na anatambua kuwa Mtoto wao huyo Judy amefariki na kwamba hivi sasa anajipanga kidogo kwani hali yake ya Uchumi siyo nzuri ili aende ' Kuhani ' kwa huyo Binti huko Mabibo karibu na Loyola wayamalize.

Sasa hapo ' Fake News ' yako iko wapi? I never knew that you're this imprudent.
Pole mkuu
 
Hayo ni mambo binafsi hayahusiani na club,kwa sababu yanga haikuwa mpenzi wa huyo mama mtu,alafu kwa mujibu wa shilawadu ni kuwa huyo mtoto aliungua na maji ya moto ndicho kilichopelekea kifo chake.Mwisho kama kweli Mwashiuya alikengeuka kwa huyo mzazi mwenzie kwa kweli itakuwa hakufanya tendo la kibinadamu na pia hapo kuna funzo hasa hasa kwa akina dada kuweni makini mnapochagua wapenzi
 
Ukifatilia Hilo Swala Kiundan Utagundua Kuna Kauli Mwanamke aliwai Kumpa Mwanaume Kuwa uyo Mtoto Si Wake

Na Zaid Mwanamke Kumwambia Ndugu Zake Kuwa Uyo Mtoto Si Wa Uyo Mchezaji

Siitaji Niwa Upande Wowote Wa Utetezi

Wote Wanamakosa Baba Na Mama
 
Mkuu Gentamycine umetisha kwa nondo.Kumbe majirani zetu wanapitia kipindi kigumu kiasi hicho?

Mkuu huko Jangwani ( Yanga ) kuna ' Njaa ' hadi Wachezaji wao wamechanganyikiwa na sasa wanawajaza tu Mimba ' Watoto ' wa Watu.
 
Back
Top Bottom