Yanga SC limalizeni hili haraka Mchezaji wenu ampa Mwanamke Mimba hataki kuilea

Hayo ni mambo binafsi hayahusiani na club,kwa sababu yanga haikuwa mpenzi wa huyo mama mtu,alafu kwa mujibu wa shilawadu ni kuwa huyo mtoto aliungua na maji ya moto ndicho kilichopelekea kifo chake.Mwisho kama kweli Mwashiuya alikengeuka kwa huyo mzazi mwenzie kwa kweli itakuwa hakufanya tendo la kibinadamu na pia hapo kuna funzo hasa hasa kwa akina dada kuweni makini mnapochagua wapenzi

Mbona umejibu kama Godfrey Mwashiuya mwenyewe Mkuu?
 
Hiii taarifa imebeba masikitiko sana lkn huyo dogo Mwashiuya kwa tukio hili amesababisha KIFO aende akatubu mapemaaa laaana isije muandama
 
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi alipojifungua Mtoto ambaye kwakweli anafanana kila kitu na Mwanandinga huyo ambaye usajili wake kwenda Yanga SC kutoka huko Mbeya katika Klabu yake ulitia ' Fora ' ambapo alisajiliwa kwa Tsh 300,000/ huku Karatasi yake ya Usajili ikisema amesajiliwa kwa Tsh 15,000,000/.

Kwa mujibu wa huyo Mwanamke ni kwamba Mchezaji huyo hakuwa na msaada wowote Kwake baada ya Kujifungua Mtoto wake huku akiwa na maneno ya dharau mno kiasi kwamba kilimsababisha Yeye ( Mwanamke ) kuwa katika wakati mgumu wa maisha kupelekea kutokupata mahitaji ya Kiuzazi yaliyosababisha Mtoto wao huyo aitwae Judy Kuugua ghafla na Kufariki dunia hivi leo ikiwa ni siku ya 22.

Mchezaji huyo alipofuatwa kuulizwa juu ya Mpenzi wake huyo aitwae Jacky ( au Mama Judy ) na kwamba kwanini mwanzo aliikataa Mimba kisha baadae Mtoto alipozaliwa akaikubali japo alikuwa hatoi huduma hadi kupelekea ' umauti ' wake jibu alilotoa ni kwamba kwa sasa hivi Wachezaji wa Yanga SC wana hali mbaya ya Uchumi kwani hata Chai yao tu kama Wachezaji wa Yanga SC ni tatizo na muda mwingi wanashinda na njaa huku wakipata msaada kutoka kwa Wachezaji wa Simba SC ambao wao muda mwingi ' accounts ' zao huwa ' zinacheka ' tu kwa ' Midola Midola ' wanayoioga kila siku.

Kwa mujibu wa huyu Mpenzi wake Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwaishuya aitwae Jacky ( Mama Judy ) ni kwamba ana ushahidi wote tena wa ' meseji ' zake kwani ameharibiwa sana maisha na huyo Mchezaji hivyo anapanga kumfungulia mashitaka ila kama Yanga SC watamsaidia basi anaweza akayamaliza Kistaarabu tu.

Nawasilisha.

Source ya taarifa hii ni SHILAWADU na Clouds tv.
Kumbe na wewe siku hizi ni Shilawadu ?
 
Mtoa mada zamani nilikuwa nakuona mtu wa maana sana lkn siku zinavyo enda nakuona utakua kuokota makopo kabisa
 
UKIFIKA DARASA LA SABA WALA HUNA JAA YA KUJIBU HAYA .ANYWAY NIKUSAIDIE

MAISHA YA KAZINI N TOFAUTI NA MUBINAFSI

MWAMBIE HUYOMWANAMKE KACHEMSHA KUKUTUMA AFWATE TU PROCEDURE ATAPEWA KILA.MWEZI STAHIKI YA MTOTO

AENDE DAWATI LA JINSIA AJIELEZE NA AKAESAWA KWA LOLOTE IKIWEMO DNA...

MSAIDIE KUMWAMBIA YANGA HAINA MAMLALA HATA ROBOO KUINGILIA NDOA YAO OTHERWISE UNAWEZA MSAIDIA KUMLEA MTOTO WA SHEMEJIOO SIOMBAYA
Wewe utakuwa Amis Tambwe Bila shaka
 
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi alipojifungua Mtoto ambaye kwakweli anafanana kila kitu na Mwanandinga huyo ambaye usajili wake kwenda Yanga SC kutoka huko Mbeya katika Klabu yake ulitia ' Fora ' ambapo alisajiliwa kwa Tsh 300,000/ huku Karatasi yake ya Usajili ikisema amesajiliwa kwa Tsh 15,000,000/.

Kwa mujibu wa huyo Mwanamke ni kwamba Mchezaji huyo hakuwa na msaada wowote Kwake baada ya Kujifungua Mtoto wake huku akiwa na maneno ya dharau mno kiasi kwamba kilimsababisha Yeye ( Mwanamke ) kuwa katika wakati mgumu wa maisha kupelekea kutokupata mahitaji ya Kiuzazi yaliyosababisha Mtoto wao huyo aitwae Judy Kuugua ghafla na Kufariki dunia hivi leo ikiwa ni siku ya 22.

Mchezaji huyo alipofuatwa kuulizwa juu ya Mpenzi wake huyo aitwae Jacky ( au Mama Judy ) na kwamba kwanini mwanzo aliikataa Mimba kisha baadae Mtoto alipozaliwa akaikubali japo alikuwa hatoi huduma hadi kupelekea ' umauti ' wake jibu alilotoa ni kwamba kwa sasa hivi Wachezaji wa Yanga SC wana hali mbaya ya Uchumi kwani hata Chai yao tu kama Wachezaji wa Yanga SC ni tatizo na muda mwingi wanashinda na njaa huku wakipata msaada kutoka kwa Wachezaji wa Simba SC ambao wao muda mwingi ' accounts ' zao huwa ' zinacheka ' tu kwa ' Midola Midola ' wanayoioga kila siku.

Kwa mujibu wa huyu Mpenzi wake Mchezaji wa Yanga SC Godfrey Mwaishuya aitwae Jacky ( Mama Judy ) ni kwamba ana ushahidi wote tena wa ' meseji ' zake kwani ameharibiwa sana maisha na huyo Mchezaji hivyo anapanga kumfungulia mashitaka ila kama Yanga SC watamsaidia basi anaweza akayamaliza Kistaarabu tu.

Nawasilisha.

Source ya taarifa hii ni SHILAWADU na Clouds tv.
shilawadu rep.
 
Back
Top Bottom