Hizo zilipendwa......Hiyo nusu fainali umetudanganya Simba hajawahi fika huko acha uongoYaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.
Amefika Fainali Kombe la Shirikisho, zamani (Caf)
Nitajie Yanga imefika wapi kwenye michuano hii mikubwa Afrika kama IQ yako inafanya kazi.
Karibu...!
Yanga wameshinda mechi zote sio ya leo tu..Yanga wamecheza mechi nne wana pointi 12.. Hawajafungwa wala kudroo kama SimbaMashabiki wa Ndala.. Pia kinachofanyika hapa ni kuwaonya kua, msibweteke na ushindi wa leo.
Roho inakuuma Sana kuona Yanga inaongoza ligi pamoja na matatizo yake yote ya kifedha.... Simba na mahela yao yote ya Dewji, kusajili kwa pesa nyingi lakini chaliii....inakuuma mnoKuhusu hili..
Tanzania Inajua..
Africa Inajua..
Na Dunia Inajua..
Ha ha ha ha. Yaani hata wewe hujui? Heri ungekaa kimya aisee. Angalia kumbukumbu mwaka 1974 mkuuHizo zilipendwa......Hiyo nusu fainali umetudanganya Simba hajawahi fika huko acha uongo
kumbe ni enzi za mkoloni?....Simba hii inayofungwa na Ndanda haitashinda hata mechi moja ya kimataifa...hata wakipangwa na timu za somalia na ethiopia hawashindiHa ha ha ha. Yaani hata wewe hujui? Heri ungekaa kimya aisee. Angalia kumbukumbu mwaka 1974 mkuu
Ni maana wanaitwa Wakimataifa Original mkuu.
Yanga hata tukifungwa bado tunaongoza ligiMkuu hizi kelele mwisho 30/09.
Nakuonea huruma kinoma kubishana na MBUMBUMBU[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hizo zilipendwa......Hiyo nusu fainali umetudanganya Simba hajawahi fika huko acha uongo
Mbumbumbu fc wanaongoza kwa kupost utumboYanga ameshinda mechi zote,...ina maana na hizo timu nyingine ni ndugu zao?
Yanga bado ana mechi moja mkononi acha kujitoa akiliHebu angalia msimamo ulivyo kwa hivi sasa.. Alafu soma ulichokiandikaView attachment 875824
Naona umeelewa sasa. Huyo dogo hata hivyo nilimuonea kumpa hiyo nyundo ndo maana kasepa.kumbe ni enzi za mkoloni?....Simba hii inayofungwa na Ndanda haitashinda hata mechi moja ya kimataifa...hata wakipangwa na timu za somalia na ethiopia hawashindi
Hizo ni zama za kale mkuu... Tuzungumzie ya Mbao na Ndanda na usajili wa bilioni moja ya gabacholi MONaona umeelewa sasa. Huyo dogo hata hivyo nilimuonea kumpa hiyo nyundo ndo maana kasepa.
Sasa mkuu unashaka na Simba kimataifa? Tuliweza kumvua Bingwa mtetezi Zamalek tena kwao halafu unatajaje Somalia hapa?
Mkuu niliamua kumuacha tu ajidanganye! Yaani awe na alama12 na Simba 10 halafu afungwe hapo hapo aongoze ligi? Mahesebu ya Bwawani hayo.Hebu angalia msimamo ulivyo kwa hivi sasa.. Alafu soma ulichokiandikaView attachment 875824
Halafu mkaishia wapi? Mbumbumbu punguzeni pumba mnatumalizia mbNaona umeelewa sasa. Huyo dogo hata hivyo nilimuonea kumpa hiyo nyundo ndo maana kasepa.
Sasa mkuu unashaka na Simba kimataifa? Tuliweza kumvua Bingwa mtetezi Zamalek tena kwao halafu unatajaje Somalia hapa?
Wewe nisubiri kwanza niongee na wenye akili kidogo kwa maana umeibuka tu kama Uyoga.Halafu mkaishia wapi? Mbumbumbu punguzeni pumba mnatumalizia mb
Mkuu inawezekana kabisa klabu kuwa na thamani kubwa lakini ikafungwa ama kutoka sare na klabu yenye thamani ndogo.Hizo ni zama za kale mkuu... Tuzungumzie ya Mbao na Ndanda na usajili wa bilioni moja ya gabacholi MO
Mda huu namalizia kukusanya ushahidi, ili j4 niukabidhi TAKUKURU.. Hahaha..