Yanga SC msingewafunga Singida United Leo.. Dunia Ingesimama.

Shida yenu MNA ghubu na wivu wa kike. Mtapata shida sana
Mashabiki wa Ndala.. Pia kinachofanyika hapa ni kuwaonya kua, msibweteke na ushindi wa leo.
 
Yaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.

Amefika Fainali Kombe la Shirikisho, zamani (Caf)

Nitajie Yanga imefika wapi kwenye michuano hii mikubwa Afrika kama IQ yako inafanya kazi.

Karibu...!
Hizo zilipendwa......Hiyo nusu fainali umetudanganya Simba hajawahi fika huko acha uongo
 
Mashabiki wa Ndala.. Pia kinachofanyika hapa ni kuwaonya kua, msibweteke na ushindi wa leo.
Yanga wameshinda mechi zote sio ya leo tu..Yanga wamecheza mechi nne wana pointi 12.. Hawajafungwa wala kudroo kama Simba
 
Kuhusu hili..

Tanzania Inajua..
Africa Inajua..
Na Dunia Inajua..
Roho inakuuma Sana kuona Yanga inaongoza ligi pamoja na matatizo yake yote ya kifedha.... Simba na mahela yao yote ya Dewji, kusajili kwa pesa nyingi lakini chaliii....inakuuma mno
 
Hizo zilipendwa......Hiyo nusu fainali umetudanganya Simba hajawahi fika huko acha uongo
Ha ha ha ha. Yaani hata wewe hujui? Heri ungekaa kimya aisee. Angalia kumbukumbu mwaka 1974 mkuu

Ni maana wanaitwa Wakimataifa Original mkuu.
 
Roho inakuuma Sana kuona Yanga inaongoza ligi pamoja na matatizo yake yote ya kifedha.... Simba na mahela yao yote ya Dewji, kusajili kwa pesa nyingi lakini chaliii....inakuuma mno
Mkuu hizi kelele mwisho 30/09.
 
Ha ha ha ha. Yaani hata wewe hujui? Heri ungekaa kimya aisee. Angalia kumbukumbu mwaka 1974 mkuu

Ni maana wanaitwa Wakimataifa Original mkuu.
kumbe ni enzi za mkoloni?....Simba hii inayofungwa na Ndanda haitashinda hata mechi moja ya kimataifa...hata wakipangwa na timu za somalia na ethiopia hawashindi
 
Yanga hata tukifungwa bado tunaongoza ligi
Hebu angalia msimamo ulivyo kwa hivi sasa.. Alafu soma ulichokiandika
IMG-20180923-WA0046.jpeg
 
kumbe ni enzi za mkoloni?....Simba hii inayofungwa na Ndanda haitashinda hata mechi moja ya kimataifa...hata wakipangwa na timu za somalia na ethiopia hawashindi
Naona umeelewa sasa. Huyo dogo hata hivyo nilimuonea kumpa hiyo nyundo ndo maana kasepa.

Sasa mkuu unashaka na Simba kimataifa? Tuliweza kumvua Bingwa mtetezi Zamalek tena kwao halafu unatajaje Somalia hapa?
 
Hizo ni zama za kale mkuu... Tuzungumzie ya Mbao na Ndanda na usajili wa bilioni moja ya gabacholi MO
 
Halafu mkaishia wapi? Mbumbumbu punguzeni pumba mnatumalizia mb
 
Wewe nisubiri kwanza niongee na wenye akili kidogo kwa maana umeibuka tu kama Uyoga.

We ni katika wale Nicholas Musonye Katibu wa Cecafa aliwaaita Mapopoma na Wapumbavu
 
Hizo ni zama za kale mkuu... Tuzungumzie ya Mbao na Ndanda na usajili wa bilioni moja ya gabacholi MO
Mkuu inawezekana kabisa klabu kuwa na thamani kubwa lakini ikafungwa ama kutoka sare na klabu yenye thamani ndogo.

Kwahivyo usishangae ya Ndanda kudroo na Simba..ndo mpira, kwani hukuona Jana Man United kwenda sare na Wolves kwenye EPL?

Mpira haupimwi hivyo mkuu..Karibu
 
Mda huu namalizia kukusanya ushahidi, ili j4 niukabidhi TAKUKURU.. Hahaha..

Hahahaha ushahidi ni vema ukamilike....vinginevyo wewe ndiye unaweza kushughulikiwa kwa kusema uongo---soma vizuri Penal code...tehtehtehteh
 
Back
Top Bottom