Bora hata wangekua wanachonga huku timu yao ikiwa vyema.. Sasa wanachonga timu yenyewe tia maji tia maji.. Ushindi mpaka miamala ifanye kazi.Yanga mnachonga hadi mnakera, anyway sio mbaya tukutane 30/9
Ila kwenu tutawaambia wawakazie ili mshike adabu!!!Hawa jamaa hiii dhambi itawatafuna daima... Na nawaona msimu ujao wakiwa ligi daraja la kwanza.
Wewe sembo kiazi sana, tumewapiga wangapi?Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?
Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??
Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.
Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...
1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.
Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."
Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.
Wewe jama una wivu wa kike sana, khaaaaNi kweli Mkuu.. Sisi wengine tunapambana dk 90, kwa nguvu na akili nyingi na tunatoka na ushindi wa kihalali lakini kwenu ni mambo ya Rose Muhando. Ila si mbaya 30/09 tutakata ngebe zenu.
Mwanaume kulia lia hivi haipendezi kabisa other wise wewe KeMalinzi aliwabeba sana kipindi hicho.
Hii ni zamu tu, miaka 5 hamja fanya hiviMsimu ujao kipindi Simba SC akipambana na hao mabingwa wenzake.. Ninyi mtakua jamuhuri stadium mkipambana na Moro kids kuwania kombe la FA
Mashabiki kiongozi wao Bi Hindu, hapo mwenye akili tafakari na chukua hatuaMbumbumbu fc wanaongoza kwa kupost utumbo
Mwanaume kulia lia hivi haipendezi kabisa other wise wewe Ke
Wewe jama una wivu wa kike sana, khaaaa
Mkuu mbona umepaniki.. Kwani uongo? Jana bila nguvu ya muamala, mlikua mnachezea.Acha kulia lia wewe jamaa, hata Simba tuta wafunga. Usiaze kusema sisi na Simba ni ndugu.
Naomba ni kukane mapema kabisa, sisi na Simba sio ndugu wala sio rafiki [emoji2] [emoji2] [emoji2]
GOLI LIKIWA TAMU NI LAZIMA UJISAHAU KIDOGO Kwa kusherehekea utamu huo na baada ya hapo ndipo mtu hujistukiaYanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?
Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??
Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.
Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...
1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.
Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."
Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.
1) je kutokuripoti kwa Shafiq Batambuze tokea msimu uanze imei favour Yanga peke yake au timu zote zilizokutana na Singida kabla ya mechi na Yanga? au mechi ya Yanga vs Singida ndio ilikuwa mechi ya kwanza kwa singida?Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?
Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??
Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.
Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...
1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.
Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."
Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...

Tar 30/09 ukipakatwa utasema miamalaBora hata wangekua wanachonga huku timu yao ikiwa vyema.. Sasa wanachonga timu yenyewe tia maji tia maji.. Ushindi mpaka miamala ifanye kazi.
Tarehe 30/09 tunaenda kukata hivi vidomo domo