Yanga SC msingewafunga Singida United Leo.. Dunia Ingesimama.

Hahahaha ushahidi ni vema ukamilike....vinginevyo wewe ndiye unaweza kushughulikiwa kwa kusema uongo---soma vizuri Penal code...tehtehtehteh
Hahaha.. Ndo mana nikasema J4 tukutane ofisini.
 
Yanga mnachonga hadi mnakera, anyway sio mbaya tukutane 30/9
Bora hata wangekua wanachonga huku timu yao ikiwa vyema.. Sasa wanachonga timu yenyewe tia maji tia maji.. Ushindi mpaka miamala ifanye kazi.
Tarehe 30/09 tunaenda kukata hivi vidomo domo
 
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?

Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??

Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.

Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...

1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.

Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."

Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.
Wewe sembo kiazi sana, tumewapiga wangapi?
 
watu kama Mwigulu ndio wanarudisha nyuma mpira wetu
Na hao singida watashuka tu daraja msimu huu
 
Acha kulia lia wewe jamaa, hata Simba tuta wafunga. Usiaze kusema sisi na Simba ni ndugu.
Naomba ni kukane mapema kabisa, sisi na Simba sio ndugu wala sio rafiki [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Msimu ujao kipindi Simba SC akipambana na hao mabingwa wenzake.. Ninyi mtakua jamuhuri stadium mkipambana na Moro kids kuwania kombe la FA
Hii ni zamu tu, miaka 5 hamja fanya hivi
 
Mwanaume kulia lia hivi haipendezi kabisa other wise wewe Ke
Wewe jama una wivu wa kike sana, khaaaa
Acha kulia lia wewe jamaa, hata Simba tuta wafunga. Usiaze kusema sisi na Simba ni ndugu.
Naomba ni kukane mapema kabisa, sisi na Simba sio ndugu wala sio rafiki [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu mbona umepaniki.. Kwani uongo? Jana bila nguvu ya muamala, mlikua mnachezea.
 
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?

Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??

Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.

Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...

1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.

Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."

Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.
GOLI LIKIWA TAMU NI LAZIMA UJISAHAU KIDOGO Kwa kusherehekea utamu huo na baada ya hapo ndipo mtu hujistukia
 
1) je kutokuripoti kwa Shafiq Batambuze tokea msimu uanze imei favour Yanga peke yake au timu zote zilizokutana na Singida kabla ya mechi na Yanga? au mechi ya Yanga vs Singida ndio ilikuwa mechi ya kwanza kwa singida?

2) kwahiyo mkuu tutegemee kuwaona makocha pamoja na kipa wakirejea kuitumikia Singida united baada mechi ya Yanga kumalizika? Au ndio timu zingine nazo zitacheza na Singida iliyokuwa na upungufu wa hao watu?

3)kutokana na kauli yako ya undugu wa Singida na Yanga je msimu uliyopita Yanga aliamua kutomfunga kwa makusudi Singida kwenye mechi zao zote walizokutana? Hivyo hata kwenye mechi ya shirikikisho Yanga aliamua kutolewa na Singida kutokana na undugu?
 
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ...
Kwanini?

Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ... Unategemea nini sasa hapo??

Huu udugu wao ulisababisha haya msimu huu ...
Singida United walimsajili Feisal Salum kutoka JKU ya Zanzibar. Baada ya Yanga SC kusua sua katika dirisha la usajili, Mwigulu Chemba aliamua kuwapatia Feisal Salumu bureee kabisa.

Hivi inawezekanaje Baba alie ukata alafu mtoto ule na kusaza ...
Ungana nami ...

1. Tangu msimu huu uanze, beki Mganda wa Singida United, Shafiq Batambuze, hajaripoti katika timu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni suala la kutolipwa mshahara na kumaliziwa fedha za usajili.
2. Kuelekea mechi ya leo, makocha wasaidizi wa klabu ya Singida United Athuman Mfaume na Jumanne Chale wameachia ngazi kwa sababu ya kutokulipwa mshahara miaka kadhaa.
3. Golikipa wao tegemeo, Manyika Peter naye kajiengua katika timu kwa kutolipwa stahiki zake.

Kwa kifupi mechi ya leo kati ya Ndala na Singida ilikua ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."

Jambo la kufurahisha 30/09/2018 hizi mbereko hazitakuwepo kabisa ... Tukutane Taifa.

We subiri dozi yako tar 30 harafu umfukuze kidevu
 
Bora hata wangekua wanachonga huku timu yao ikiwa vyema.. Sasa wanachonga timu yenyewe tia maji tia maji.. Ushindi mpaka miamala ifanye kazi.
Tarehe 30/09 tunaenda kukata hivi vidomo domo
Tar 30/09 ukipakatwa utasema miamala
 
Back
Top Bottom