GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiingereza
Tanzania's Giant Club and VPL Champions Simba SC have lined up Kaiser Chiefs and Kenyan international midfielder Anthony Teddy Akumu as the perfect replacement of Brazilian Gérson Fraga Vieira who was ruled out of the season after sustaining an injury.
The Tanzania champions are currently in contact with Amakosi to sign the former Zesco United man in the January transfer window.
Kiswahili
Klabu Kubwa Tanzania na Bingwa wa Ligi Kuu Simba SC iko mbioni Kumsajili Mkabaji na wa Kimataifa Raia wa Kenya anayecheza katika Klabu Kubwa nchini Afrika Kusini ya Kaizer Chiefs kama mbadala sahihi wa Kiungo wa Brazil anayeenda Kuachwa kutokana na kuwa na Majeruhi Gerson Fraga.
Mabingwa hao wa Tanzania (yaani Simba SC) sasa wako katika Mazungumzo na Amakhosi (Kaizer Chiefs) ili Kumsajili Mchezaji huyo wa zamani wa Zesco United katika Kipindi cha Usajili cha dirisha dogo Mwezi January.
Chanzo: African Sports Today
Kama kuna Usajili ambao GENTAMYCINE nitaufurahia Simba SC wakiukamilisha basi ni wa huyu 'Kiungo' kwani anajua hadi anakera katika Kiungo.