kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Mkuu msamehe tu, maana sio akili yake, inaonekana ni mbege zinampeleka vibaya 😂😂Unajifanya mtu mwenye busara zake kama unavyohubiri sasa , nataka nikuuulize mtu mwenye busara zake na mchamungu anaweza kupost utumbo kama huu na kuhifadhi katika simu yake ?
Kula chuma hiyo chini 👇👇 mimi sina hadithi mbili wala sielewi maandiko yako zaidi ya kushusha vyuma tu..View attachment 2799946
View attachment 2799947
NB : Kuna chuma nyingine very destructive ninahifadhi kwa matumizi ya baadae KATIKA WAKATI MUHIMU USIO TARAJIA.