Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?

Mkuu msamehe tu, maana sio akili yake, inaonekana ni mbege zinampeleka vibaya 😂😂
 
CAPO DELGADO au TUKANA UONE mbona haumjibu mbabe wako adriz?

Kaka labda kwa ushauri tu
Mathayo 8:9 .Bible inasema Heri walio wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.

(Kinyume chake wewe ni mchonganishi)

Biblia inasema msishindane na yule muovu
Pia inasisitiza.

Wafilipi 2:3-4

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake

Mimi si mtoto wa kujitoa akili na Kujibu kila Mtu , Neno la Mungu ni yote katika vyote.

Mingu akupe hekima ya kulijua neno lake.

MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI NDIVYO MEMA YATAKAVYO KUJIA.
AYUBU22.21.
 
CAPO DELGADO au TUKANA UONE hajawahi kumiliki akili popote pale hivyo asikusumbueni
Naona tangu umekung'utwa Ban ile I'd yako ya MZURI SANA haijaposti kabisa leo,nenda kidogo ukachangamshe Jukwaa la Mahusiano lisipoe!

Yaani na huko ukiweka uzi ni mwendo wa Spana tu hadi Utubu!,Ukishatubu tunakubeba na Karandinga hadi kijijini kwenu Butiama kwa Wangoreme wenzio kwenda kukubatiza kwenye maji yaliooshea Sangara,Sato na Furu ili akili ikukae sawia!.

Baada ya hapo tunakubanika kama Kimoro kisha tunakutafuna chukuchuku bila pilipili!
 
pumbavu unavyomchokoza, mdhalilisha, kumdhihaki, kumshambulia na kumtukana hovyo tena bila sababu yoyote ile GENTAMYCINE huwa hufanyi uchonganishi na huwa huonyeshi chuki dhidi yake?

na labda tu kwa kukusaidia ni kwamba nje ya hii id yako hapa jamiiforums ila pia nakujua ndani nje na una udhaifu wako mmoja hivyo ukiendelea na huu upuuzi wako nakuanika na hadi na contacts zako ili ujue kuwa sibahatishi

adriz njoo ulione hili linafiki liandamizi

Cc: TUKANA UONE
 
Huyu Bwana ako adriz Unayemtag kila mara na yeye ngoja nimpekue ili nijiridhishe maana ulivyo Juha una IDs za kutosha ili ujipigie Kura kuwa Mwanachama Bora lakini safari hii nishakwambia utakula chuya mwehu wewe!
 
Mbona amekuwa mchungaji ghafla??
 
Mbona amekuwa mchungaji ghafla??
Sindano zangu kali zimesaidia sana kumfanya mtu aanze kusoma Bible daily.Ukiambiwa athari chanya za vita ndio hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…