MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi tu.
Kwa tunaoifuatilia kwa Umakini Ligi ya Daraja la Kwanza iitwayo Championship mtakubaliana nami kuwa kwa Klabu ya DTB ilivyo na Wachezaji wazuri, wakubwa na Wazoefu hata leo hii ikukutana na akina Simba na Yanga ina uwezo wa Kuwafunga vile vile.
Ila hawa hawa DTB FC wenye kila aina ya Wachezaji mahiri tena wanaoijua Ligi Kuu ya Tanzania na wameshavichezea hivi Vilabu Vikongwe nchini Walifungwa na Mbao FC hi hii ambayo leo inacheza na Yanga SC katika Uwanja wa CCM Kirumba na hawakuamini Macho na Masikio yao.
Niwatakie Kila Ia Kheri Timu zote Leo!