Hata kukaa kimya ni busara pia kuliko kuweka pumba hati uonekane nawe umechangia.
Acha kulialia jezi za klabu za Tanzania zinauzwa na wajanja tangu zamani sio jambo jipya.Wewe kama ni mwanachama wa Yanga ukienda kwenye vikao vya klabu upeleke hoja kuhusu hiyo issueNadhani ujanielewa. Acha kudandia BodaBoda kwenye tairi la mbele....
Soma Uzi upya!