Yanga SC tunaibiwa mchana kweupe

Yanga SC tunaibiwa mchana kweupe

UhlSports ndio wanatengeneza hizo jezi zilizopo Kariakoo ?

Ukienda Uwanja wa Taifa mbona hizo jezi zinauzwa miaka yote
Nadhani ujanielewa. Acha kudandia BodaBoda kwenye tairi la mbele....


Soma Uzi upya!
 
Hata kukaa kimya ni busara pia kuliko kuweka pumba hati uonekane nawe umechangia.

Naona hatimaye kwa haya majibu yako tu umedhihirisha ule ' Ujinga ' kama siyo ' Upumbavu ' wa wana Yanga ambao niliusema hapo awali.
 
Mboni hizo jezi hazina nembo ya sports pesa?
 
Nadhani ujanielewa. Acha kudandia BodaBoda kwenye tairi la mbele....


Soma Uzi upya!
Acha kulialia jezi za klabu za Tanzania zinauzwa na wajanja tangu zamani sio jambo jipya.Wewe kama ni mwanachama wa Yanga ukienda kwenye vikao vya klabu upeleke hoja kuhusu hiyo issue
 
Uwanja wa kaunda umewekwa nyasi original.
 
Back
Top Bottom