Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Haya Haya Yanga yetu !
Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.
Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......
Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .
Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.
Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I don’t know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.
Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,
Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.