Yanga SC, Ubora Wenu Usipimwe kwa Kuifunga Simba

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Haya Haya Yanga yetu !

Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.

Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......

Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .

Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.

Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I don’t know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.

Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,

Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.
 
Wewe sio mwananchi...najua hapo unawaza kipigo cha tarehe 13/08. Ondoa shaka tarehe hiyo lazima nikushone.
 
Unazi mtupu
 
Nabi amechukua SHIRIKISHO AFRIKA 2012 AKIWA NA LEOPARD YA DRC.
 
MAKOLO MAKOLO MAKOLO, nimewaita mara 3 mirembe mje mpate methadone dozen maana madishi yenu yameyumba kwa kutoka kapa 2021/2022 huku Yanga akiwa amenyakua makombe ma3 yote.

Poleni ila hiyo ndiyo dunia [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeinamishwa na Vipers, hasira kwa wengine inahusu?

Byuti byuti.
 
Nabi amechukua SHIRIKISHO AFRIKA 2012 AKIWA NA LEOPARD YA DRC.
Kumbe wee ni mweupe hivi'???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kocha alikua Joseph Omog. Poleeeeeeh kwa kuchanganyikiwa na kipigo cha 2G.

Byuti byuti
 
Sema Rais Karia anona mbali sana kaepukana na aibu kubwa ya nchi.
 
Back
Top Bottom