Geography piaBiology je
Tulia tuHaya Haya Yanga yetu !
Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.
Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......
Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .
Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.
Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I donβt know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.
Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,
Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.
Simba ndio kibonde wa Yanga, Kila mtu anajivunia kibonde wake.Wao ukiwagusa utasikia tukutane tar 13 yaani kwao kuifunga simba ni big deal wakiongozwa na yule zeru zeru anayejizima data.
Simba kwa Yanga ni kama pombe ya ngomani tu, unajichotea tu.Simba ndio kibonde wa Yanga, Kila mtu anajivunia kibonde wake.
Ukiona unaonewa na Yanga amia ligi ya Zanzibar.
Hapo mnatuzidi uchawi tu hakuna loloteSimba ndio kibonde wa Yanga, Kila mtu anajivunia kibonde wake.
Ukiona unaonewa na Yanga amia ligi ya Zanzibar.
UmeharishaHaya Haya Yanga yetu !
Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.
Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......
Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .
Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.
Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I donβt know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.
Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,
Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.
+ Mathematics πBila kusahau geography
Miaka yote mnazidiwa uchawi eti? Kumbe uchawi ni deal zuriHapo mnatuzidi uchawi tu hakuna lolote
FactHapo mnatuzidi uchawi tu hakuna lolote
Mmekojolewa viwili huko, vipi mmeshatawaza au bado mnataka zifike hadi mji wa mimba??? PoleeeeeeeeniSimba kwa Yanga ni kama pombe ya ngomani tu, unajichotea tu.
Ndio sababu mashabiki wa Simba wana chuki na Yanga na siyo utani kabisa ni chuki pasee.
Mmekojolewa viwili huko, vipi mmeshatawaza au bado mnataka zifike hadi mji wa mimba??? Poleeeeeeeeni
Byuti byuti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
+ Mathematics [emoji3]
Ila mashabiki wa yanga hawana chuki na simba?ππππππSimba kwa Yanga ni kama pombe ya ngomani tu, unajichotea tu.