Yanga SC, Ubora Wenu Usipimwe kwa Kuifunga Simba

Haya Haya Yanga yetu !

Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.

Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......

Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .

Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.

Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I don’t know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.

Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,

Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.
Tulia tu
 
Wao ukiwagusa utasikia tukutane tar 13 yaani kwao kuifunga simba ni big deal wakiongozwa na yule zeru zeru anayejizima data.
Simba ndio kibonde wa Yanga, Kila mtu anajivunia kibonde wake.
Ukiona unaonewa na Yanga amia ligi ya Zanzibar.
 
Simba kwa Yanga ni kama pombe ya ngomani tu, unajichotea tu.

Ndio sababu mashabiki wa Simba wana chuki na Yanga na siyo utani kabisa ni chuki pasee.
 
Haya Haya Yanga yetu !

Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga haujawahi kuwa tested, hivyo hatuwezi kusema kuwa Yanga ya sasa ni bora....... itahitaji muda kufika huko.

Simba imeshakuwa tested sana kimataifa na imepitia changamoto mbalimbali na maumivu sana. wana experience na ubora na kwa usajili wa mwaka huu Simba anaweza cheza CAF robo fainali ; ila Yanga ana nafasi kubwa sana ya kuishia Preliminary Stage.......

Mmeona mpira wa VIPERS, ni mpira uliokuwa tactically kuondoka na ushindi, hizo show game baki nazo nyie...... na ndio mipira ya kimataifa inakuwa hivyo. Focus ni ushindi tu...... one mistake one goal .

Pamoja na yote , Yanga mnachakujifunza.
Nini cha kujifunza..... mtajua wenyewe na ni kazi yenu kujua cha kujifunza.

Hivi Nabil ameshawahi kucheza mechi ya kimataifa ? I don’t know .... but mechi za kimataifa sio ligi ya NBC na ndio zinapima Ubora wa timu na kocha.

Ubora wa Nabil utapimwa very soon Kwenye international games?
Otherwise,

Maisha sio marahisi hivyo kama Blah Blah za mitandao na Byuti Byuti za hovyo.
Umeharisha
 
Simba kwa Yanga ni kama pombe ya ngomani tu, unajichotea tu.

Ndio sababu mashabiki wa Simba wana chuki na Yanga na siyo utani kabisa ni chuki pasee.
Mmekojolewa viwili huko, vipi mmeshatawaza au bado mnataka zifike hadi mji wa mimba??? Poleeeeeeeeni

Byuti byuti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaaa!!!!

Ila mashabiki wa yanga hawana chuki na simba?🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom