Utakufa na kijiba cha roho bi Hindu.Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Coastal Union leo, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Klaus Kindoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Pappy Kabamba
7. Mrisho Ngassa
8. Feisal Salum
9. Heritier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Deusi Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Beno Kakolanya
13. Abdallah Shaibu
14. Jaffary Mohammed
15. Thaban Kamusoko
16. Raphael Daudi
17. Matheo Anthony
18. Amis Tambwe
NB: Kamati ya Roho Mbaya Tupo Siti Za Mbele
Haritierhaya cha kwanza hicho ...
Huyu mfungua uz yupo wap ... Hivi anamjua makambovic ..Haritier
Yule ajuza huko mikoni hapati hata goli la offsideHuyu mfungua uz yupo wap ... Hivi anamjua makambovic ..
Utafanansha na yule babu yangu kageraa
Sawa haji manaraNgoma bado mbichi hii.. Nyie anzeni sisi tutamaliza
Ndala anaongoza kwa goli 1 la offside
Pole Sana mtani.. Mwaka huu pamoja na pesa nyingi mlizotumia... Hampati hata kikombe cha kunywea ujiNdala anaongoza kwa goli 1 la offside