Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Kwa vile ni Simba ya Uturuki -Nanjilinji mkuu!!!Halafu mbona siwaelewi? Kipindi Simba ikishinda goli moja mnasema haitoshi. Leo (Jana) mmeshinda goli moja na mkawa mnapumua kwa mashine huku mkiomba gemu iishe mnasema muhimu pointi 3, inamaana umuhimu pointi 3 ni kwenu Yanga na sio kwa Simba? Au kwavile Simba SC ni Big Brand? [emoji123][emoji3][emoji3][emoji3]