Yanga SC vs Coastal Union

Yanga SC vs Coastal Union

Halafu mbona siwaelewi? Kipindi Simba ikishinda goli moja mnasema haitoshi. Leo (Jana) mmeshinda goli moja na mkawa mnapumua kwa mashine huku mkiomba gemu iishe mnasema muhimu pointi 3, inamaana umuhimu pointi 3 ni kwenu Yanga na sio kwa Simba? Au kwavile Simba SC ni Big Brand? [emoji123][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa vile ni Simba ya Uturuki -Nanjilinji mkuu!!!
 
Mkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).
Imagine hadi mpira unaisha, Yanga SC kapiga mashuti 2 tu katika lango la Coastal.. Umiliki wa mpira coastal kaongoza kwa 76% dhidi ya 24%.. Kwa kifupi jana timu nzima ya Yanga lazima watakua walilala na viatu.

NB: Mna bahati King Kiba alipata majeruhi katika mazoezi, lasivyo mlikua mnalala.
Hahahahaaaaa kwa mpira waliocheza jana tarehe 30 vyura watatafuta mpira kwa tochi
 
Hahahaaa. Mie utaniona asubuhi sababu saa hizo nakuwa busy na mambo ya nyumbani ila usiache kunitag ili asubuhi cha kwanza nije kwenye huo uzi nikuone ulivyokimbia kivuli chako.

😂😂😂😂😂 msalimie Ghazwat maana ulijua kumtag. 😂😂
Hahaha.. Poa
 
Mkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).
Imagine hadi mpira unaisha, Yanga SC kapiga mashuti 2 tu katika lango la Coastal.. Umiliki wa mpira coastal kaongoza kwa 76% dhidi ya 24%.. Kwa kifupi jana timu nzima ya Yanga lazima watakua walilala na viatu.

NB: Mna bahati King Kiba alipata majeruhi katika mazoezi, lasivyo mlikua mnalala.
Naona mmeshinda bana kwa -1
 
Mkuu kesho tunaimaliza gemu mapema sana.. Dk. 20 tu kazi itakua imeisha.. Karibu Kirumba Mkuu kama uko Kwanza.. Ila kama uko mbali, inatakiwa uwahi uwahi kibanda umiza mapema kabisa.. Ukichelewa utakuta gemu ishaisha.
Naona mmemaliza dk 20 kama ulivyosema hongereni wekundu wa msimbazi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu unazungumzia Mbao ipi? Hii ambayo haijawahi kutufunga kamwe?
1. Tumecheza nae mechi 4.. Tumeshinda 3.. Tumedroo 1.
2. Mara ya mwisho katika ligi tulimgonga 5 kavu.
3. Mara ya mwisho tulicheza nae katika kombe la FA fainali tukamgonga 2-1.
Narudia tena unazungumzia Mbao ipi??
Nafikiri utakumbuka nilichokuambia, nilisema mnacheza na mbao na sio katoko au ndanda. Ulitoa maneno mengiii ila nafikiri matokeo umeyapata[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Halafu mbona siwaelewi? Kipindi Simba ikishinda goli moja mnasema haitoshi. Leo (Jana) mmeshinda goli moja na mkawa mnapumua kwa mashine huku mkiomba gemu iishe mnasema muhimu pointi 3, inamaana umuhimu pointi 3 ni kwenu Yanga na sio kwa Simba? Au kwavile Simba SC ni Big Brand? [emoji123][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio
tapatalk_1537506796520.jpeg
 
Back
Top Bottom