Ndiyo hivyo tenaWalikuwa hawajui kama kuna game
Dogo Mateo nimependa anavyocheza kwa kujiamini
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada Esperanca uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
Benchi la ufundi la timu ya Yanga.
Benchi la ufundi la GD Sagrada Esperanca
Msuva akimiliki mpira.
Simon Msuva akimtoka beki wa GD Sagrada Esperanca
Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa GD Sagrada Esperanca, Manuel Sallo Conho.
Beki wa Yanga, Kelvin Yondani akimtoka Manuel Paulo Joao.
Kipa wa GD Sagrada Esperanca, Roadro Juan Da Semero akiokoa mpira.
Wachezaji wa Yanga wakibadilishana mawao na kocha wao.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo.
Malimi Busungu akipata matibabu baada ya kuumia uwanjani.
Matheo Anthony akishangilia na Simon Msuva baada
Ha ha ha wacha umalayaNilikuwa namalizia kupiga cha pili kwa mchepuko hapa Taifa hotel karibu na shell. nimemaliza sasa naleta update
Tutawatandika tu, mwaka huu tunakutana na TP mazembe final. Mark my wordSasa mtapangiwa wenyewe Esperence ya Tunisia.