Yanga SC vs Esperanca

Yanga SC vs Esperanca

MMG_3479 copy.jpg
 
Yanga imefanikiwa kushinda goli 2 kwa 0 dhidi ya esperanca sagrada ya angola
Baada ya wiki 1 yanga taelekea angola kwa mechi ya marudiano huku esperanca wakitakiwa kushinda 3 bila kufuzu hatua ya makundi
Yanga ikifanikiwa kufuzu hatua ya 8 bola tanzania itanufaika kuingiza tumu 3 msimu ujao kwenye michuano ya kimataifa
Leo yanga ilikoso huduma ya wachezaji wake 2 muhumu kamusoko na ngoma kwa tumikia adhabu ya kadi 2 za njano, wachezaji hao sasa wapo huru kucheza mchezo wa marudiano
 
Badala ya majirani watuombee dua nzuri wenyewe ndio wa kwanza kututakia mabaya waqt tunawatengenezea nafasi warudi kimataifa.
 
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada Esperanca uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)

Benchi la ufundi la timu ya Yanga.

Benchi la ufundi la GD Sagrada Esperanca

Msuva akimiliki mpira.
Simon Msuva akimtoka beki wa GD Sagrada Esperanca

Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa GD Sagrada Esperanca, Manuel Sallo Conho.

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani akimtoka Manuel Paulo Joao.

Kipa wa GD Sagrada Esperanca, Roadro Juan Da Semero akiokoa mpira.

Wachezaji wa Yanga wakibadilishana mawao na kocha wao.

Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo.

Malimi Busungu akipata matibabu baada ya kuumia uwanjani.

Matheo Anthony akishangilia na Simon Msuva baada
 
Dogo Mateo nimependa anavyocheza kwa kujiamini
 
Back
Top Bottom