Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Papaa makombo anazurura stendi tu hana nauliBado Papaa Makambo au ashatoka? Manake siangalii mechi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papaa makombo anazurura stendi tu hana nauliBado Papaa Makambo au ashatoka? Manake siangalii mechi hii
Kabisaaaa nyuma kwanini wakati mbele kupo? [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mtani inaonesha jana wale waturuki walikuudhi sana eeh, [emoji23] [emoji23] tatizo ni manara na maneno yake, keshawaaminisha wanachukua kombe...
Go go Yanga, mbele daima nyuma mwiko[emoji108]
Sasa kazi ilobaki ni mipira yote ielekezwe kwake,hadi kipa awe anaipigia alipo MakambovicYupo mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kabisaaaa nyuma kwanini wakati mbele kupo? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Au unasemaje mwana yanga mwezangu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Simba ipi? Ile ya jana kule Mtwara! Mtake msitake tarehe 30 mnakufa, tena nyingi tu!Kweli kabisa gemu yetu hii ila najaribu kuwaza kama stendi wanatutoa jasho hivi nyumbani itakuwaje mbele ya simbaaaaaaaaaaa tarehe 30
Kosheka tu Mkuu. Ndio Yanga yetu hiiYanga yanga yanga jmn mwanikosha mimi.
Hivi mara ya mwisho churaa kumfunga Mnyamaaaa ilikuwa ni lini mkuu?Simba ipi? Ile ya jana kule Mtwara! Mtake msitake tarehe 30 mnakufa, tena nyingi tu!
Hahahaaa. SaaaafiNipo hapa mamiii...nilienda kupindua meza ya shabiki wa mikia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo weye?Wozaaaaaah