Yanga Sc Vs Stand Unites Updates.

Mtani inaonesha jana wale waturuki walikuudhi sana eeh, [emoji23] [emoji23] tatizo ni manara na maneno yake, keshawaaminisha wanachukua kombe...

Go go Yanga, mbele daima nyuma mwiko[emoji108]
Kabisaaaa nyuma kwanini wakati mbele kupo? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kweli kabisa gemu yetu hii ila najaribu kuwaza kama stendi wanatutoa jasho hivi nyumbani itakuwaje mbele ya simbaaaaaaaaaaa tarehe 30
Simba ipi? Ile ya jana kule Mtwara! Mtake msitake tarehe 30 mnakufa, tena nyingi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…