mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Baada ya kuutuzama kiufundi mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa Africa baina ya yangu Yanga sc dhidi ya CR Belouizdad ya nchini Algeria nafikiri uongozi wa Yanga sc unapaswa kuzinduka haraka ikiwa wanataka timu yetu ifanye vizuri kimataifa
1: kwa ujumla wake yanga sc hawakucheza vibaya kama timu lakini hawakucheza kikubwa Kulingana na dhana nzima ya mashindano hayo kulinganisha na wapinzani wao ambao niwazi walikwenda kutafuta matokeo na sio kufanya utoto wa kama yanga, ile ni champions league, means tunapambana na mabingwa kutoka mataifa mengine tena yaliyo juu kisoka kulinganisha na nchi yetu, ni vyema kwenda kwa tahadhari haijalishi ubora ulio nao, kule haichezi kmc au namungo ambao wanaweza pata nafasi tano wakakosa zote kule scoring chance ni chache na wapinzani wakizipata lazima ulizwee.
2: Yanga inapaswa kuingia sokoni na kupata offensive prolific winger mmoja, ambae atachukua nafasi ya jesus moloko ambae niwazi hawezi kuifikisha yanga popote kimataifa kwa style yake ya uchezaji ambayo ni yakizamani sana, he is too direct na hana power wala skills
3: Kennedy Musonda na Clement mzize hawawezi kuivusha yanga hatua hii ya makundi, tukianza na Musonda, huyu mzambia hana utulivu, ball control yake NI mbaya, ni mchezaji mzuri ikiwa mechi ina mianya mingi ya watu kukimbia lakini katika narrow defensive line huyu ni mzigo sababu hana skills za kujitengenezea nafasi na anahama hama hovyo katika eneo lake kiasi kwamba tukitaka kufanya counter attack humkuti katika boxi la wapinzani itakuwa jambo jema Yanga wakiachana nae mwisho wa msimu
Kuhusu mzize he is very skilled, sharpness yake ni nzuri sana na pia anaweza cheza kama winger wa either kushoto ama kulia tatizo maturity yake, na sio clinical finisher, anahitaji nafasi zaidi ya moja kufunga jambo ambalo linalomfanya asiwe tegemezi kikosini.
Mengine WANAYANGA wenzangu mnaweza kuchangia[emoji2772]