demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali.
Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu.
Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas wamekwisha ingiza Bilioni takriban 6 kwa mauzi ya kinda wako kwenda RB Sarlsburg.
Vibunda kama hivyo huwapa watu jeuri ya kuendelea kumbakiza mchezaji kwa kumuahidi mshahara mnono zaidi.
Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda hata msimu unao akapanda thamani na tusimpate mazima.
Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda ata ndoto zetu za kutwaa ndoo ya Klabu Bingwa Barani Afrika.