YANGA SC wakimkosa KI AZIZ basi wasahau kutwaa kombe la CAFCL Msimu 2022/23

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali.

Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu.

Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas wamekwisha ingiza Bilioni takriban 6 kwa mauzi ya kinda wako kwenda RB Sarlsburg.

Vibunda kama hivyo huwapa watu jeuri ya kuendelea kumbakiza mchezaji kwa kumuahidi mshahara mnono zaidi.

Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda hata msimu unao akapanda thamani na tusimpate mazima.

Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda ata ndoto zetu za kutwaa ndoo ya Klabu Bingwa Barani Afrika.
 
Hahaha Manara ameshawalisha ety ubingwa Wa CAF
 
sisi malengo yetu ni robo au nusu ili kupata uzoefu kwanza alafu baada ya hapo ndo tutafikiria makubwa zaidi kama fainali au ubingwa.
Uzoefu na pesa, sasa mtu unatolewa mechi ya kwanza tu afu usajili umefanya kwa mapesa mengi kama sio ukichaa ni nini??

Ni kichaa tu ndiye anaeweza kuponda uwezo wa team fulani kuingia makundi & robo fanali za CAFCL na CAFCC.

Wanaotoa hela kwaajili ya club wanajua nini maana ya kufika hizo level, ila vidampa walala hoi ndo wanaobeza humu.
 
Yule Konnate kauzwa timu kubwa kea kiasi chake barani Ulaya kutokea Afrika. Lakini kwa mechi nilizomuangalia zote za Shirikisho naona hana kiwango kikubwa kuzidi wachezaji wa hapa kwetu.

Afrika Mashariki tunakwama wapi?
 
Uzoefu na pesa, sasa mtu unatolewa mechi ya kwanza tu afu usajili umefanya kwa mapesa mengi kama sio ukichaa ni nini??

Ni kichaa tu ndiye anaeweza kuponda uwezo wa team fulani kuingia makundi & robo fanali za CAFCL na CAFCC.

Wanaotoa hela kwaajili ya club wanajua nini maana ya kufika hizo level, ila vidampa walala hoi ndo wanaobeza humu.
timu inatolewa mechi ya kwanza tena anafumuliwa mechi zote nje ndani.
 
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali.

Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu.

Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas wamekwisha ingiza Bilioni takriban 6 kwa mauzi ya kinda wako kwenda RB Sarlsburg.

Vibunda kama hivyo huwapa watu jeuri ya kuendelea kumbakiza mchezaji kwa kumuahidi mshahara mnono zaidi.

Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda hata msimu unao akapanda thamani na tusimpate mazima.

Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda ata ndoto zetu za kutwaa ndoo ya Klabu Bingwa Barani Afrika.
Hivi unaongelea nini?
 
Mbona tumeaminishwa kuwa ashasaini Yanga huyo bwana mdogo Aziz na vyuku vililiwa pale hotelini na Rais mtarajiwa wa Yanga?
 
Kwani si mmemsajili jamani na injinia alienda hadi abidjan
 
Back
Top Bottom