Na Nyie Mtachukua Ubingwa Wa Nn?Labda wachukue ubingwa wa CUF ya Lipumba.
sisi malengo yetu ni robo au nusu ili kupata uzoefu kwanza alafu baada ya hapo ndo tutafikiria makubwa zaidi kama fainali au ubingwa.Na Nyie Mtachukua Ubingwa Wa Nn?
Uzoefu na pesa, sasa mtu unatolewa mechi ya kwanza tu afu usajili umefanya kwa mapesa mengi kama sio ukichaa ni nini??sisi malengo yetu ni robo au nusu ili kupata uzoefu kwanza alafu baada ya hapo ndo tutafikiria makubwa zaidi kama fainali au ubingwa.
timu inatolewa mechi ya kwanza tena anafumuliwa mechi zote nje ndani.Uzoefu na pesa, sasa mtu unatolewa mechi ya kwanza tu afu usajili umefanya kwa mapesa mengi kama sio ukichaa ni nini??
Ni kichaa tu ndiye anaeweza kuponda uwezo wa team fulani kuingia makundi & robo fanali za CAFCL na CAFCC.
Wanaotoa hela kwaajili ya club wanajua nini maana ya kufika hizo level, ila vidampa walala hoi ndo wanaobeza humu.
Hivi unaongelea nini?Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali.
Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu.
Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas wamekwisha ingiza Bilioni takriban 6 kwa mauzi ya kinda wako kwenda RB Sarlsburg.
Vibunda kama hivyo huwapa watu jeuri ya kuendelea kumbakiza mchezaji kwa kumuahidi mshahara mnono zaidi.
Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda hata msimu unao akapanda thamani na tusimpate mazima.
Tukishindwa kumchukua msimu huu basi huenda ata ndoto zetu za kutwaa ndoo ya Klabu Bingwa Barani Afrika.
Nusu ni maneno ila kiukweli ni makundi ndoto yaoKweli unaota..yanga abebe klabu bingwa leo!!?..wenyewe wanataka kufika nusu tu
kwani Aziz ki nani