Hapo uzi tayari, Rage akiwaita majina mnayoendana nayo mnasema mzee anazenguaYanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa.
Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya GSM apewe timu moja kwa moja.
Kutokana na hali hiyo itapelekea mchezo wa Simba SC na Yanga SC kutochezwa hivyo kuahirishwa.
Vinginevyo Simba SC wamejipanga na kujiandaa vilivyo na wanakusudia kufanya mauaji zaidi ya yale ya Kimbari.
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Kocha wenu Luc aliwaitaje mbona hamsemi?Hapo uzi tayari, Rage akiwaita majina mnayoendana nayo mnasema mzee anazengua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Umbumbumbu ni mzigo wa kichwa na mwiliHapo uzi tayari, Rage akiwaita majina mnayoendana nayo mnasema mzee anazengua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Yanga hatuna presha kwa simba kabisa,tutapambana kwa kadri ya uwezoYanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa.
Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya GSM apewe timu moja kwa moja.
Kutokana na hali hiyo itapelekea mchezo wa Simba SC na Yanga SC kutochezwa hivyo kuahirishwa.
Vinginevyo Simba SC wamejipanga na kujiandaa vilivyo na wanakusudia kufanya mauaji zaidi ya yale ya Kimbari.
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Kajisalimisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ushauri mzuri natumai wataufanyia kazi.