Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi?

Wachezaji hawana teamwork?

Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani?

Wachezaji wamelewa sifa?

Physicality ya wachezaji ni hafifu?

Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni?

Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao.

Pang Fung Mi
 
Mazoea hutumbua usaha

Ina umiza sana na kukera wachezaji tulikuwa vizuri na kocha cha ajabu unafukuza kocha kihuni.. sisi kama wachezaji tunavunjika sana moyo.

Yanga wanakosa hamasa tu kama ya mwanzo ila timu ipo vizuri.

Kwa mashabiki maandazi wa Tanzania hapo wataanza kutukana na kugukuzisha wachezaji
 
Back
Top Bottom