Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopo ni vijana labda una chuki na wazeeMadhara ya kujaza wazee kwenye wizara hovyo kabisa.
Mie n mdau wa soka na kwa taarifa sina mapenzi ya Simba wala yanga sema ikifikia pahali natakiwa kuchagua Simba au yanga ntachagua Simba.Nyie utopolo kama mmeshindwa kushiriki kimataifa kaeni pembeni sio mlazimishe timu zifungiwe kimataifa
Kwani Simba ndio wameairisha mechi msiwe mnakurupuka walioairisha mechi ni tff nq bodi ya ligi kwa agizo la wizara sasa Simba inaingiaje hapoMie n mdau wa soka na kwa taarifa sina mapenzi ya Simba wala yanga sema ikifikia pahali natakiwa kuchagua Simba au yanga ntachagua Simba.
Ila kwa hili Simba, bodi ya ligi, TFF na wizara wote wameshindwa kutafsiri kanuni zao vizuri Yan hawajui Mpira kwamaana taaluma zao huenda n duni au wameziweka mfukoni wavuke barabara kwanza
Halafu aseme kama walikaguliwa na marefa na kuingia uwanjani kisha refa akasubiri dakika kumi na tano na kisha kupuliza kipenga cha kumaliza mchezo.Kama yanga imeingiza kikosi nipe kikosi cha yanga kinachoanza
Simba tulitakiwa au walitakiwa kujipima na kutafsiri Sheria kabla ya kufanya uamuzi.Kwani Simba ndio wameairisha mechi msiwe mnakurupuka walioairisha mechi ni tff nq bodi ya ligi kwa agizo la wizara sasa Simba inaingiaje hapo
Pointi 3 na magoli 2 hutolewa na mwamuzi wa kati. Leo hakukuwa na mwamuzi wa kati wakati ya ga wameingiza timu uwanjani! Hizo pointi 3 xitatolewa na nani!!Kuipa Yanga ushindi wa mezani itakuwa sio haki kwa Simba. Pia kama Yanga wasipoingiza team saa moja kuipa Simba ushindi wa mezani itakuwa sio haki kwa Yanga.
TFF pamoja na bodi ya ligi wanatakiwa wapigwe fine na FIFA kwa kukubali kupelekwa kisiasa kinyume na taratibu za FIFA.
Tunahitaji mtu awajibishwe iwe funzo siku nyingine.
Mwa CAF na FIFaUwe na akil japo kdgo. Football la Tanzania liko mikonon mwa nan?
Wakati mnaingiza timu uwanjani refa alikuwepo??Salaam.
Kama Yanga wakiamua kudai haki yao ya pointi za mezani naona wana kila sababu ya kupata pointi tatu na magoli mawili.
Hii ni kwasababu walikidhi matakwa ya kanuni inayotaka wapeleke timu uwanjani Kanuni ya 15 (10) ya Ligi Kuu; muda wa mchezo uliopangwa, wakae dakika thelathini, kama mpinzani wao akiwa bado hajatokea basi waondoe timu yao uwanjani.
Simba SC hapa wameingizwa chaka na TFF, wamefuata tamko la TFF/ bodi ya ligi kuahirisha muda wa mchezo bila kuangalia kanuni zinasemaje, naamini Simba wakiulizwa kwanini hawakupeleka timu uwanjani watadai ni kutokana na tamko la TFF.
Lakini kwa bahati mbaya hilo tamko la TFF limekosa weledi wa kanuni za soka, wameahirisha muda wa kuanza mchezo bila kusema wametumia sheria/kanuni ipi kufanya hivyo.
Natumai hili tukio la leo litakuwa fundisho tosha kwa soka letu na wote wanaoliendesha, ni vyema kanuni na sheria za mpira zifuatwe kuamua hatma ya matukio ya uwanjani badala ya mamlaka husika kukurupuka tu na kujiamulia mambo pasipo kufuata sheria.
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa kumi ikasogezwa hadi saa mbili usiku na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugomaSimba tulitakiwa au walitakiwa kujipima na kutafsiri Sheria kabla ya kufanya uamuzi.
Kutokujua Sheria haikuondolei hatia ya kuhukumiwa Lisa lako kabla kitu au watu au utaratibu Basi Sheria huanza kabla
Naunga mkono hoja!Salaam.
Kama Yanga wakiamua kudai haki yao ya pointi za mezani naona wana kila sababu ya kupata pointi tatu na magoli mawili.
Hii ni kwasababu walikidhi matakwa ya kanuni inayotaka wapeleke timu uwanjani Kanuni ya 15 (10) ya Ligi Kuu; muda wa mchezo uliopangwa, wakae dakika thelathini, kama mpinzani wao akiwa bado hajatokea basi waondoe timu yao uwanjani.
Simba SC hapa wameingizwa chaka na TFF, wamefuata tamko la TFF/ bodi ya ligi kuahirisha muda wa mchezo bila kuangalia kanuni zinasemaje, naamini Simba wakiulizwa kwanini hawakupeleka timu uwanjani watadai ni kutokana na tamko la TFF.
Lakini kwa bahati mbaya hilo tamko la TFF limekosa weledi wa kanuni za soka, wameahirisha muda wa kuanza mchezo bila kusema wametumia sheria/kanuni ipi kufanya hivyo.
Natumai hili tukio la leo litakuwa fundisho tosha kwa soka letu na wote wanaoliendesha, ni vyema kanuni na sheria za mpira zifuatwe kuamua hatma ya matukio ya uwanjani badala ya mamlaka husika kukurupuka tu na kujiamulia mambo pasipo kufuata sheria.
Kutokujua kosa Ni kosa kubwa Sana hata siku moja usikubali kufanya jambo kinyume na utaratibu eti sababu ulizoea.Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa kumi ikasogezwa hadi saa mbili usiku na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma