Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Unadhani ile kauli uongo!!!!hebu mwangalie Kamwe kabla ya kuzama utopwinyo na hv sasaMtasababisha ile kauli ya kusema wenye akili ni wawili tu ionekane ni kweli[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ile kauli uongo!!!!hebu mwangalie Kamwe kabla ya kuzama utopwinyo na hv sasaMtasababisha ile kauli ya kusema wenye akili ni wawili tu ionekane ni kweli[emoji28][emoji28]
mpira unadunda broJe unaona kama mimi au unaona kama mimi?
Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando.
Tumecheza mechi nne mpaka sasa huku tume concede shoot 1 tu on target.
Sioni binafsi timu ya kutusumbua msimu huu.
Tunachotakiwa kufanya wananchi ni kuhakikisha tunafanya maandalizi ya njia ipi itatumika kufanya parade.
Kuna watu mpaka sasa wao ni tia maji tia maji tu, timu haina connection wala nini. Viungo wao sio wanyumbulifu yaani wamekomaa kama mninga.
Beki zao hazieleweki, zinachoma hovyo hovyo hata dhidi ya timu mbovu kama mtibwa sugar.
Forward zao hazisomeki kabisa. Wamejaa wazee pale mbele hadi wengine wananunulia super black ili waonekane wako katika umri sahihi....lakini nalo hola.
Wamecheza mechi 2 wamefunga bao 6. Yanga kacheza mechi 1 kafunga bao 5.
Hofu imetanda kambini kwao. Tajiri kapiga simu kocha kaweka Loud spika wachezaji wameamshwa ili wasikilize.
Hali tete, Jamba Jamba imekuwa ya kiwango kikubwa.