Yanga Sc Watimua kocha Wao wa timu ya wanawake

Yanga Sc Watimua kocha Wao wa timu ya wanawake

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili .

Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya Wanawake.Kwa sasa benchi la ufundi la Yanga Princess litakuwa chini ya kocha Fredy Mbuna mpaka mwisho wa msimu huu.

8AB619D2-166D-462E-9A30-4A3C7BDEE198.jpeg
 
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili .

Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya Wanawake.Kwa sasa benchi la ufundi la Yanga Princess litakuwa chini ya kocha Fredy Mbuna mpaka mwisho wa msimu huu.View attachment 2568627
Nimekuja mbiombio nikijua Ni Professor
 
Kulikua na haja ya kuwapa wana Yanga magonjwa ya moyo
 
Masikini wananchi roho juu wengine kufungua huu uzi wameshindwa [emoji3]
 
Nilisoma mtandaoni "Rais amejiuzuru urais " baada ya kusoma ndipo nikagundua kuwa foolish day yaweza kuwa siku yoyote na sio April 1😜
 
Back
Top Bottom