Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Nimekuja mbiombio nikijua Ni ProfessorUongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili .
Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya Wanawake.Kwa sasa benchi la ufundi la Yanga Princess litakuwa chini ya kocha Fredy Mbuna mpaka mwisho wa msimu huu.View attachment 2568627
Nani kakuwekea huo mwiko?Kocha kafukuzwa kwa sababu ameshindwa kuutoa ule mwiko kule nyuma
Kama yule mMadrid wa buza?Na Bado......!
Nabi naye Atatimuliwa...!