demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Huu ni wakati wa kufanya biashara kwa Klabu ya Young Africans SC. Lomalisa amethibitisha kuwa ni mchezaji wa kusumbua kwenye Ligi tu na sio kwwenye michuano ya CAF. Uza Lomalisa leta, Attohoula Yao [emoji1081] (Asec Mimosas).
Diarra ni best goal keeper inapokuja suala la ball-playing lakini ana mapungufu ya shoot stoping na height fupi. Uza Diarra leta Fofana Issa [emoji1081] (Al Hilal).
Fiston anaweza kuuzwa si kwasababu ya mapungufu ya mchezaji, bali lengo ni ketengeneza faida. Wassou ni dhahabu iliyochafuka, nimemuona dogo katika mechi za CAF this season ila anakosa kuzungukwa na quality players tu, ili naye aweze ku-shine kama Mayele.
Uza Mayele leta Makabi Lilepo[emoji1078] (Al Hilal) na Patient Wassou[emoji1062] (Cotton Sport).
Bangala is the best DM, lakini anakosa consistance. Malengo ya Yanga ni makubwa sana sioni haja ya kubaki naye, ni jambo la kufurahia kama kuna offer zitakuja mezani. Mechi kadhaa za CAFCL amekuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza. Kuna mbadala wake ambao ni wazuri mno kama; F. Ngoma ambaye at least ni box-to-box.
Uza Bangala leta; Bruno Gomes[emoji1054] (Singada BS FC) na Fabrice Ngoma[emoji1078] (Al Hilal SC) au
Morice Chukwu[emoji1184] (Rivers United).
Coach: Julien Chevalier