Yanga SC wauze wachezaji ili wasijili vijana wenye kiu mpya.

Yanga SC wauze wachezaji ili wasijili vijana wenye kiu mpya.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Huu ni wakati wa kufanya biashara kwa Klabu ya Young Africans SC. Lomalisa amethibitisha kuwa ni mchezaji wa kusumbua kwenye Ligi tu na sio kwwenye michuano ya CAF. Uza Lomalisa leta, Attohoula Yao [emoji1081] (Asec Mimosas).

Diarra ni best goal keeper inapokuja suala la ball-playing lakini ana mapungufu ya shoot stoping na height fupi. Uza Diarra leta Fofana Issa [emoji1081] (Al Hilal).

Fiston anaweza kuuzwa si kwasababu ya mapungufu ya mchezaji, bali lengo ni ketengeneza faida. Wassou ni dhahabu iliyochafuka, nimemuona dogo katika mechi za CAF this season ila anakosa kuzungukwa na quality players tu, ili naye aweze ku-shine kama Mayele.

Uza Mayele leta Makabi Lilepo[emoji1078] (Al Hilal) na Patient Wassou[emoji1062] (Cotton Sport).

Bangala is the best DM, lakini anakosa consistance. Malengo ya Yanga ni makubwa sana sioni haja ya kubaki naye, ni jambo la kufurahia kama kuna offer zitakuja mezani. Mechi kadhaa za CAFCL amekuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza. Kuna mbadala wake ambao ni wazuri mno kama; F. Ngoma ambaye at least ni box-to-box.

Uza Bangala leta; Bruno Gomes[emoji1054] (Singada BS FC) na Fabrice Ngoma[emoji1078] (Al Hilal SC) au
Morice Chukwu[emoji1184] (Rivers United).

Coach: Julien Chevalier
 
Huu ni wakati wa kufanya. biashara kwa Klabu ya YOUNG AFRICANS SC.

LOMALISA ameprove kuwa ni mchezaji wa kusumbua kwenye Ligi tu na sio kwwenye michuano ya CAF.

Uza LOMALISA leta
A. Attohoula Yao[emoji1081] (Asec Mimosas)

DIARRA ni best goal keeper inapokuja suala la ball-playing lakini ana mapungufu ya shoot stoping na height fupi

Uza DIARRA leta
Fofana Issa[emoji1081] (Al Hilal)

Fiston anaweza kuuzwa si kwasababu ya mapungufu ya mchezaji bali lengo ni ketengeneza Profit. Wassou ni dhahabu iliyo chafuka nimemuona dogo ktk mechi za CAF this season ila anakosa kuzungukwa na quality players tu ili naye aweze ku-shine kama Mayele.


Uza MAYELE leta

Makabi Lilepo[emoji1078] (Al Hilal) na
Patient Wassou[emoji1062] (Cotton Sport)

Bangala is the best DM, lakini anakosa consistance. Malengo ya Yanga ni makubwa sana sioni haja ya kubaki naye, ni jambo la kufurahia kama kuna offer zitakuja mezani.

Mechi kadhaa za CAFCL amekuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza. Kuna mbadala wake ambao ni wazuri mno. Kama F. Ngoma ambaye at least ni box-to-box.

Uza BANGALA leta

Bruno Gomes[emoji1054] (Singada BS FC) na
Fabrice Ngoma[emoji1078] (Al Hilal SC)
Utadhani ni GSM yupo mezani anatoa maelekezo kwa Hersi. 🤣🤣🤣🤣
 
Naona kama ungefikiri namna gani wanaweza kuwamix hao waliopo na hao wapya ila unavofikiri wewe mambo huwa hayaendi hvo
 
Hii ndiyo ile mtu anakufa unaliaaaa, baadae reality ikiingia kuwa hauwezi kumrudisha unaanza kuuza hata vitu vyake.

Wiki mbili zilizopita ungemwambia mwanayanga, wamuuze Bangala, Mayele, Lomalisa, Diarra na wavunje mkataba na Nabi, wangekurushia matusi yooote. Leo hii mnadiscuss kwa uhuru kabisa kuachana nao. Reality imeset in.
 
Hii ndiyo ile mtu anakufa unaliaaaa, baadae reality ikiingia kuwa hauwezi kumrudisha unaanza kuuza hata vitu vyake.

Wiki mbili zilizopita ungemwambia mwanayanga, wamuuze Bangala, Mayele, Lomalisa, Diarra na wavunje mkataba na Nabi, wangekurushia matusi yooote. Leo hii mnadiscuss kwa uhuru kabisa kuachana nao. Reality imeset in.



Hao ulio wataja ni the best footy players this League has ever had since 35'

Huwezi sema hawatovutia outsiders.


(Kumiminika kwa offer kunathibitisha hilo)

Hao wakurusha matusi wanahitaji elimu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom