Yanga SC ya sasa Ina Kikosi Bora Kuliko timu yeyote Tangu Kuasisiwa Kwa LigiKUU Mwaka 1935

Yanga SC ya sasa Ina Kikosi Bora Kuliko timu yeyote Tangu Kuasisiwa Kwa LigiKUU Mwaka 1935

Bahati Ngao ya Hisani.

Bahati kubeba Ligi.

Bahati ASFC.

Bahati CAFCC

Ina maana hata nyinyi hamuhitaji bahati? Hamuioni ilivyo tamu?
Ngao ya hisani ninbahata

NBC ukweli unaujua mlifanyaje mech ya azam raund ya Kwanza na mech ya juz Dodoma jiji, michezo ya namna hii iliwabeba

ASFC hamjachukua bado
 
Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.

Simba na........ 2-0
Usm Algers... 2-1

Sasa nimeanza KUAMINI kuwa Simba ni timu kubwa zaidi Tanzania. Kwa miaka mi tatu inacheza na
ALHALY.
Raja.
Widad.
KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
Berkane nk.

Hawa ni MABINGWA WAKUBWA.. Simba imecheza nao sio UNACHEZA na zalan, bamako na marumo unajisifu mkubwa, MATUSI, kelele, nk

YANGA SHUGHULI YETU IMEISHIA HAPO.
 
H

Hakika umenyoosha chuma kilichopindishwa
 
Back
Top Bottom