Yanga SC yafungiwa tena kwa kushindwa kulipa madeni ya usajili

Ukidaiwa kwa kiwango cha kushtakiwa kila wakati ni either umefilisika au umekuwa tapeli.
Cha ajabu Yanga inashtakiwa kila mara ila bado inaendelea kusajiri. Hakuna dirisha limepita bila Yanga kusajiri mchezaji. Kwahiyo hizi ban za kawaida tu hela zitalipwa
 
Niombeni niwalipie, si mnapenda kulipiwa
Haapaanaah! BIG NO! Waje Kwanza wakupigie magoti! Kudadadeki zao! Si Wamezoea kuiga hao! Kwa hili naona wameshindwa kuiga! Waige Taifa Kubwa kuishi bila wasiwasi, bila madeni! Madhulumaji hao?
 
Kwa mentality ndio maana wengi wenu mnapenda kukopa ila hamtaki kulipa, ndio maa mna maadui Kila Kona kwanzia ndani ya familia yako sababu ya kutokulipa madeni ya watu
Kama wewe ni mwaaume na hudaiwi basi jua huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…